Masiya
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 7,602
- 7,332
Angekuwa na msimamo kama huu kwenye chaguzi zote za vyama ningekuwa wa kwanza kumuunga mkono na mguu. Lakini naona umakini wake unakuja inapohusika CDM tu, huko kwingine anakuwa pono zaidi ya samaki pono. Kwa kifupi huyu mutu ni MNAFIKI.Msajili wa vyama vya siasa nchini Jaji Mutungi amesema anafuatilia kwa makini sana uchaguzi wa viongozi wa CHADEMA kuhakikisha katiba inafuatwa na haki inatendeka kwa wagombea wote.
Msajili amesema endapo katiba itakiukwa kwa makusudi basi uongozi utakaochaguliwa utakuwa ni batili na hatautambua.
Chanzo: Gazeti la Jiji
Maendeleo hayana vyama!