Msajili: Nafuatilia kwa karibu sana Uchaguzi wa Viongozi CHADEMA kuhakikisha haki inatendeka na Katiba kufuatwa

Msajili: Nafuatilia kwa karibu sana Uchaguzi wa Viongozi CHADEMA kuhakikisha haki inatendeka na Katiba kufuatwa

Msajili wa vyama vya siasa nchini Jaji Mutungi amesema anafuatilia kwa makini sana uchaguzi wa viongozi wa CHADEMA kuhakikisha katiba inafuatwa na haki inatendeka kwa wagombea wote.

Msajili amesema endapo katiba itakiukwa kwa makusudi basi uongozi utakaochaguliwa utakuwa ni batili na hatautambua.

Chanzo: Gazeti la Jiji

Maendeleo hayana vyama!
Angekuwa na msimamo kama huu kwenye chaguzi zote za vyama ningekuwa wa kwanza kumuunga mkono na mguu. Lakini naona umakini wake unakuja inapohusika CDM tu, huko kwingine anakuwa pono zaidi ya samaki pono. Kwa kifupi huyu mutu ni MNAFIKI.
 
HUYU MSAJILI HAJASOMA KITABU CHA MKAPA KUWA CCM WALITUMIA PESA ZA EPA KWENYW UCHANGUZI??
Mi nilidhani anamekuja kutuambia kuwa amekifuta chama cha majambazi
 
Huyo msajili afuatilie siasa za Rwanda huko ndo kwao!huku kwetu hatuna majina ya kina MUTABAZI,MUTUNGI AU KATABAZI!!!Pandikizi la kinyarwanda katika ubora wake wa kueneza HIMA EMPIRE HAPA TZ!!!RIP MTIKILA!!!
 
Kwanini wanaccm wanahangaika sana na uenyekiti wa Mbowe kuliko uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu!
Lakini inaonesha maelekezo aliyopewa ni kutowatambua viongozi watakaochaguliwa endapo waccm hawatashinda.
Mkuu hilo ni wazi kuwa walimshindwa kwa kila mbinu waliojaribu. Sasa njia pekee iliyobaki ni kuhakikisha anapoteza nafasi ndani ya chama. Hilo nalo linaonekana kufeli.
 
Mkuu hilo ni wazi kuwa walimshindwa kwa kila mbinu waliojaribu. Sasa njia pekee iliyobaki ni kuhakikisha anapoteza nafasi ndani ya chama. Hilo nalo linaonekana kufeli.
Kwani una wasiwasi wa katiba kuvunjwa?!
 
Kwanini wanaccm wanahangaika sana na uenyekiti wa Mbowe kuliko uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu!
Lakini inaonesha maelekezo aliyopewa ni kutowatambua viongozi watakaochaguliwa endapo waccm hawatashinda.
Huwa nawaheshimu sana majaji lakini huyu jamaa kichwani mwake umejaa ugoro tu,wala hana jema lolote analoweza sema
 
Mjinga tu huyu, naona anaitaka nafasi ya chakubanga hapo lumumba
 
Chadema wakikosea tu nukta, Sumaye anakuwa Mwenyekiti.. Just like Mwakinyo alivyoshinda zile ngumi, hivyo hivyo Sumaye atashinda tu.. Haaa😂😂 Siasa ny🔴k*🔴 sana
 
Back
Top Bottom