Waliodhulumiwa serikali za mitaa amewasaidiaje.Msajili wa vyama vya siasa nchini Jaji Mutungi amesema anafuatilia kwa makini sana uchaguzi wa viongozi wa CHADEMA kuhakikisha katiba inafuatwa na haki inatendeka kwa wagombea wote.
Msajili amesema endapo katiba itakiukwa kwa makusudi basi uongozi utakaochaguliwa utakuwa ni batili na hatautambua.
Chanzo: Gazeti la Jiji
Maendeleo hayana vyama!
Hili swali linamuhusu Jaffo.Waliodhulumiwa serikali za mitaa amewasaidiaje.
Kamwambie huyo Jaji wenu aache kisebusebu, Uchaguzi wa serikali za mitaa umefanyiwa uhuni alikuwa wapi ?, mbona hakusema neno lolote mpaka viongozi wa dini wakaanza kutoa ushauri wao ??, aende akalale kwa maana hakuna anajua kazi anayofanya hapa na anakula mshahara wa bure, watu wa hivi ukipata chance ya kukutana nae unamuwekea kitu chenye ncha kali unamwambia akikalie.Msajili wa vyama vya siasa nchini Jaji Mutungi amesema anafuatilia kwa makini sana uchaguzi wa viongozi wa CHADEMA kuhakikisha katiba inafuatwa na haki inatendeka kwa wagombea wote.
Msajili amesema endapo katiba itakiukwa kwa makusudi basi uongozi utakaochaguliwa utakuwa ni batili na hatautambua.
Chanzo: Gazeti la Jiji
Maendeleo hayana vyama!
Mbona CCM sio tu imedhulumu bali imeua
Mbona Vyama hasa vya Upinzani kuzuiwa kufanya Mikutano (huku CCM ikifanya) ambayo Katiba inaruhusu umeshindwa kusimamia au kuna Katiba nyingine unayotumia?Msajili wa vyama vya siasa nchini Jaji Mutungi amesema anafuatilia kwa makini sana uchaguzi wa viongozi wa CHADEMA kuhakikisha katiba inafuatwa na haki inatendeka kwa wagombea wote.
Msajili amesema endapo katiba itakiukwa kwa makusudi basi uongozi utakaochaguliwa utakuwa ni batili na hatautambua.
Chanzo: Gazeti la Jiji
Maendeleo hayana vyama!
Huu mtungi unavuja,alishindwa kuufuatilia wa serikali za mitaa na katiba ikavunjwa waziwazi,sembuse wa CHADEMA,akome abaki kuwa mshauri tuMsajili wa vyama vya siasa nchini Jaji Mutungi amesema anafuatilia kwa makini sana uchaguzi wa viongozi wa CHADEMA kuhakikisha katiba inafuatwa na haki inatendeka kwa wagombea wote.
Msajili amesema endapo katiba itakiukwa kwa makusudi basi uongozi utakaochaguliwa utakuwa ni batili na hatautambua.
Chanzo: Gazeti la Jiji
Maendeleo hayana vyama!
Wewe ni jambazi tena kibaka, mwambieni Polepole aje agombee Uenyekiti Taifa Chadema ndio Msajiri wenu ataridhika.Mimi sio jambazi
Uwe unaongea vitu kwa fact na sio mihemuko
Yote hiyo yanatokana na Jiwe kutaka kumiliki posts zote za nchi!Hata hadhi ya ujaji inatailiwa shaka kwa namna hii.
Wewe ni jambazi tena kibaka, mwambieni Polepole aje agombee Uenyekiti Taifa Chadema ndio Msajiri wenu ataridhika.
Na uchaguzi wa Chadema ni wa wanaChadema yeye asubiri matokeo.Hili swali linamuhusu Jaffo.
Maendeleo hayana vyama!
CCM inahangaika na uchaguzi wa cdm kwa sababu ndio chama kinachosimamia utekelezaji wa ilani ya uchaguzi na moja ya mambo ni demokrasiaKwanini wanaccm wanahangaika sana na uenyekiti wa Mbowe kuliko uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu!
Lakini inaonesha maelekezo aliyopewa ni kutowatambua viongozi watakaochaguliwa endapo waccm hawatashinda.
Hana chama cha kisiasa na kama ana chama anavunja katiba ya nchi.Msajili ni mwanaccm?!
kwahiyo waliokuwa wanafanya uchaguzi ni vyama vya TAMISEMIUchaguzi wa serikali za mitaa unasimamiwa na Tamisemi bwashee!
Kwani yeye ni msimamizi wa chaguzi ndani ya vyama? Yeye kama mlezi wa vyama alikua na sauti kwa rafu na sarakasi zilizofanywa na ccm,Uchaguzi wa serikali za mitaa unasimamiwa na Tamisemi bwashee!
Hauwezi kupata nafasi hiyo bila kuwa mwanaccm.Msajili ni mwanaccm?!
Nyie wanachama wa Chadema!Msajili Asimame haki watu wasidhulumiwe haki zao
Hatutakubali wagombea wanyanyaswe sababu ya ubabe wa kina Lema
Tutazipiga