Jaa la mtungi ni mbwa koko! Hivi ameshasema lolote kwa yaliyotokea serikali za mitaa?Msajili wa vyama vya siasa nchini Jaji Mutungi amesema anafuatilia kwa makini sana uchaguzi wa viongozi wa CHADEMA kuhakikisha katiba inafuatwa na haki inatendeka kwa wagombea wote.
Msajili amesema endapo katiba itakiukwa kwa makusudi basi uongozi utakaochaguliwa utakuwa ni batili na hatautambua.
Chanzo: Gazeti la Jiji
Maendeleo hayana vyama!
Punguza kiherehere Binti...Msajili Asimame haki watu wasidhulumiwe haki zao
Hatutakubali wagombea wanyanyaswe sababu ya ubabe wa kina Lema
Tutazipiga
Kwanza amsimamie Bashiru anayempa Amri kua akihudhuria mtutano hana kaziMsajili Asimame haki watu wasidhulumiwe haki zao
Hatutakubali wagombea wanyanyaswe sababu ya ubabe wa kina Lema
Tutazipiga
Ya Jaji wa mahakama kuu!mtungi ana elimu gani
Mbona Lowassa alikatwa huko CCM na hatukusikia chochote kutoka kwa Msajili? Au alikuwa bafo hajakalia kiti?Mbona CCM sio tu imedhulumu bali imeua
Kavimbiwa kodi zetu huyoMsajili wa vyama vya siasa nchini Jaji Mutungi amesema anafuatilia kwa makini sana uchaguzi wa viongozi wa CHADEMA kuhakikisha katiba inafuatwa na haki inatendeka kwa wagombea wote.
Msajili amesema endapo katiba itakiukwa kwa makusudi basi uongozi utakaochaguliwa utakuwa ni batili na hatautambua.
Chanzo: Gazeti la Jiji
Maendeleo hayana vyama!
Unapokuwa unatumika tumia akili japo hata robo tuMsajili Asimame haki watu wasidhulumiwe haki zao
Hatutakubali wagombea wanyanyaswe sababu ya ubabe wa kina Lema
Tutazipiga
Amfute kazi Jaji!
Chadema wakikosea tu nukta, Sumaye anakuwa Mwenyekiti.. Just like Mwakinyo alivyoshinda zile ngumi, hivyo hivyo Sumaye atashinda tu.. Haaa😂😂 Siasa ny🔴k*🔴 sana
Aache k utumika kama condomAa
Msajili amesema endapo katiba itakiukwa kwa makusudi basi uongozi utakaochaguliwa utakuwa ni batili na hatautambua.
Chanzo: Gazeti la Jiji
Maendeleo hayana vyama!
Kwanini wanaccm wanahangaika sana na uenyekiti wa Mbowe kuliko uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu!
Lakini inaonesha maelekezo aliyopewa ni kutowatambua viongozi watakaochaguliwa endapo waccm hawatashinda.
Msajili wa vyama vya siasa nchini Jaji Mutungi amesema anafuatilia kwa makini sana uchaguzi wa viongozi wa CHADEMA kuhakikisha katiba inafuatwa na haki inatendeka kwa wagombea wote.
Msajili amesema endapo katiba itakiukwa kwa makusudi basi uongozi utakaochaguliwa utakuwa ni batili na hatautambua.
Chanzo: Gazeti la Jiji
Maendeleo hayana vyama!
Kashindwa kusimamia watendaji wanafunga ofisi watu wasichukue fomu kwenye uchaguzi wa SM aje kusimamia chadema.kaishiwa huyo msajili
Wewe jamaa lisenge sana! Ningekuwa mod ID zako zote ningezipiga ban ya maisha.Msajili Asimame haki watu wasidhulumiwe haki zao
Hatutakubali wagombea wanyanyaswe sababu ya ubabe wa kina Lema
Tutazipiga