mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Usiseme yeye kushinda, sema yeye kutangazwa mshindi ndio tatizo.
Na kipi kipimo chenu kuwa lisu atakuwa ameshinda lakini hajatangazwa mshindi?
Kushinda ni lazima, sema kuibiwa ndiyo kitaleta tatizo, safari hii hatumwachii MunguYeye kushinda urais ni ndoto.kama Ana jeshi lake aliweke tu tayari waanze kupasha Moto bunduki
Hata Mange aliwaona.Hapo chumbani kwako ndio huoni.. ila tupo kama wote.
Mange ndio TAL...Hata Mange aliwaona.
Usipotoshe. Hakusema asipochaguliwa, alisema akiibibiwa kura na kwa tafsiri pana ni kwamba HAKI ISIPOTENDEKA ATAWAHAMASISISHA WAFUASI WAKE NA WAPENDA HAKI WOTE KUPINGA UOVU HUO KWA NGUVU ZOTE.Msajili wa vyama vya siasa amekiandikia barua Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kijieleze kwanini mgombea wao kila siku anasema safari hii hawatakubali kuibiwa kura na wakiibiwa wataingia barabarani, Msajili anasema matamshi hayo ni kutishia amani.
Majibu ya Lissu: Ni kweli uchaguzi huu tukiibiwa tutaingia barabarani, ‘ Nothing less nothing more’.
Mungu hayupo kwaajili ya watu waoga bali watu werevu na jasiri. Mungu hakutuumva tu wanyonge bali wenye misimamo thabiti.Round hii Upinzani wamesimamisha mtu kweli..
Habari za namuachia Mungu wakati Mungu nae anategemea ujasiri wako round hii HAKUNA.
Kwani Madaktari wanasema hali ya Mzee Baba, yesu wa Burigi inaendeleaji?Sioni wakujitoa kafara kwa Lissu ,hayupo
Kwani kura zinapigwa ahera kiasi kwamba isijulikane Lisu amepata kura ngapi, na wapinzani wake wamepata ngapi?Na kipi kipimo chenu kuwa lisu atakuwa ameshinda lakini hajatangazwa mshindi?
Chenga kweli kweli.We nae chenga tu..
Huyo anayesema wasipomchagua hatawaletea maendeleo wamemfanyaje?
Mzee alijiandaa kwa paper ya geometry akakuta paper yote ni Algebra, halafu waliokuzunguka wanafanya masomo mengine, wa mbele anafanya kiswahili, kulia historia, kushoto geografía, nyuma civics, msimamizi bubu, anatumia ishara tu. Utaishia kuandika jina na kukusanya au ujituingie swali la geometry na kujibu maana hakuna namna, utapigwa tu!!!!. Hivi mzee Pinda yuko wapi bajameni!!!
Umma ndio uamua mshindi na sio bundukiYeye kushinda urais ni ndoto.kama Ana jeshi lake aliweke tu tayari waanze kupasha Moto bunduki
Msajili Kama kavuta advance airejeshe hakuna kura itayoibiwa hata moja this timeHiki chuma Ni hatari? Msajili utaumia