Msajili wa vyama aitaka CHADEMA ijieleze kwanini wanasema wasipochaguliwa wataingia barabarani, Lissu ajibu

Msajili wa vyama aitaka CHADEMA ijieleze kwanini wanasema wasipochaguliwa wataingia barabarani, Lissu ajibu

Na kipi kipimo chenu kuwa lisu atakuwa ameshinda lakini hajatangazwa mshindi?

Matokeo ya mawakala wetu. Sio mara moja au mbili jumla kuu imekuwa ikitofautiana na matokeo halisi ya vituoni.
 
Msajili wa vyama vya siasa amekiandikia barua Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kijieleze kwanini mgombea wao kila siku anasema safari hii hawatakubali kuibiwa kura na wakiibiwa wataingia barabarani, Msajili anasema matamshi hayo ni kutishia amani.

Majibu ya Lissu: Ni kweli uchaguzi huu tukiibiwa tutaingia barabarani, ‘ Nothing less nothing more’.

Usipotoshe. Hakusema asipochaguliwa, alisema akiibibiwa kura na kwa tafsiri pana ni kwamba HAKI ISIPOTENDEKA ATAWAHAMASISISHA WAFUASI WAKE NA WAPENDA HAKI WOTE KUPINGA UOVU HUO KWA NGUVU ZOTE.
 
Round hii Upinzani wamesimamisha mtu kweli..

Habari za namuachia Mungu wakati Mungu nae anategemea ujasiri wako round hii HAKUNA.
Mungu hayupo kwaajili ya watu waoga bali watu werevu na jasiri. Mungu hakutuumva tu wanyonge bali wenye misimamo thabiti.

Kristo alikubali kufa msabani kwaajili ya kutetea kweli ya Mungu. Katika kutetea haki yetu, hatustahili kuwa waoga, tuwe waoga kuungana na shetani. Yeye aliye wa ukweli ametufundisha kwa kutoa mfano wa namna ya kuenenda, na siku zote ukweli hushinda, ukweli hudumu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna wa kuingia barabarani na Chadema inashindwa.
 
Naona Gari inatafutiwa kipunguza mwendo 'speed governor"!
 
Hivi yale maandamano ya mange yaliushia wapi kwikwikwikwikwi...
 
Huyo anayesema wasipomchagua hatawaletea maendeleo wamemfanyaje?
Mzee alijiandaa kwa paper ya geometry akakuta paper yote ni Algebra, halafu waliokuzunguka wanafanya masomo mengine, wa mbele anafanya kiswahili, kulia historia, kushoto geografía, nyuma civics, msimamizi bubu, anatumia ishara tu. Utaishia kuandika jina na kukusanya au ujituingie swali la geometry na kujibu maana hakuna namna, utapigwa tu!!!!. Hivi mzee Pinda yuko wapi bajameni!!!

Unaingia kwenye paper Hakuna hata moja ulilolikariri limo, hakuna cha topic ya sgr, flyover, ndege, mabeberu,corona halafu paper lenyewe sio la reasoning Ni la kuclaim majibu.
 
Back
Top Bottom