Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Kwahiyo unao na unauangalia wewe na wanaccm wenzako.Siwezi kushiri kusambaza video inayo'najisi' tunu ya Taifa langu Tanzania.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo unao na unauangalia wewe na wanaccm wenzako.Siwezi kushiri kusambaza video inayo'najisi' tunu ya Taifa langu Tanzania.
Mimi ni Mwafrika niliyezaliwa Tanzania.Kwahiyo unao na unauangalia wewe na ,......
Haina. Waache wasumbuke.Ikiwa kisheria wimbo wa Taifa ni hizo beti mbili basi ukiongezeka ubeti wa tatu huo kisheria siyo wimbo wa Taifa tena ila wimbo tu wa mtaani.
Tatizo ni kama huo wimbo una patent kisheria.
Ndiyo maana mchoyo! Hutaki na wenzako wauimbe, watanzania kwa roho mbaya bana.Mimi ni Mwafrika niliyezaliwa Tanzania.
hawa nao wameunajisi wimbo wetu🙄😛😛😛Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Mstaafu Francis Mutungi ameionya CHADEMA kutokana na alichokiita uvunjifu wa sheria kwa kuongeza ubeti wa tatu kwenye wimbo wa Taifa.
Ameeleza kuwa kitendo hicho kilifanywa jana wakati Baraza Kuu la CHADEMA lilipokuwa likimpendekeza atakayepeperusha bendera ya Chama hicho katika nafasi ya Urais.
Msajili amesema, "Nimesikitishwa na kitendo cha kuvunja sheria kwa makusudi kilichofanywa na CHADEMA cha kuchukua wimbo wa Taifa na kuongea aya"
Amesisitiza, "Kwa hili ambalo limefanyika na CHADEMA ni kama kunajisi wimbo wa Taifa. Nataka kuwaonya wakati wanaendelea na mikutano yao, waheshimu sheria za nchi."
CCM siyo tu kuzingatia bali hawajui sheriaCHADEMA huwa hawazingatii Sheria!
Mkishazidiwa hoja ndilo kimbilio lenu, amani, amani, amani.Chadema ni chama ambacho kilianzishwa kwa lengo moja tu la kuvuruga amani ya nchi.
ccm ipo kwa ajili ya kuwadhulumu wananchiChadema ni chama ambacho kilianzishwa kwa lengo moja tu la kuvuruga amani ya nchi.
Yaani jamaa kama Agents wa shetani kabisa,Mkishazidiwa hoja ndilo kimbilio lenu, amani, amani, amani.
ccm hawasumbuliwi na dola kwasababu vyombo vya dola vimekumbatiwa na ccmYaani jamaa kama Agents wa shetani kabisa,
Hawawezi kukaa bila kusumbuana na vyombo vya dola, kma hivi basi huko waliko wanafurahi sana.
Weka hapa huo usumbufu tuujadili.Yaani jamaa kama Agents wa shetani kabisa,
Hawawezi kukaa bila kusumbuana na vyombo vya dola, kma hivi basi huko waliko wanafurahi sana.
hebu taja kifungu cha sheria kusapoti argument yako bibieCHADEMA HAWANA HESHIMA KWA SHERIA ZA NCHI YETU.
lakini ni lazima watambue tutawanyoosha wao na mabwana zao mabeberu.
Mwambie mumeo lissu hatujaribiwi.hebu taja kifungu cha sheria kusapoti argument yako bibie
hebu tuimbie walichoimba na kuvunja sheria bwasheeUnaona walicho fanya ni sahihi
mbona umefura kama umekula hamira bibie? hebu tuimbie hapa walichoimba chadema na kuvunja sheria. au kama umejaa nyembe nenda mahakamani ukashtaki kuliko kukaa hapo kwenye key board na kuanza kujiliza kama umetelekezwa na bwanaMwambie mumeo lissu hatujaribiwi.
yaani wamevunja sheria kwa kumuomba Mungu aibariki Chadema na watu wake? kosa hapo ni nini?Kuvaa nguo za chama na kufanya makosa hakumaanishi chama kimekosa. Lakini Chama kikiwa kwenye vikao vyake halali, huku uongozi mzima wa kichama tena kitaifa kudiriki kuvunja sheria hakiwezi kujivua 'dhambi' hii. Chadema jana walikuwa kwenye vikao halali na wamefanya kosa hilo, hivyo kama wanajielewa wawaombe radhi watanzania mara moja.
Mtanzania anayejitambua hawezi kuchezea wimbo wa Taifa.
basi tuimbie weweSiwezi kushiri kusambaza video inayo'najisi' tunu ya Taifa langu Tanzania.
Msajili atulie siasa zifanywe mbona ccm wanavunja sheria nyingi tu lakini hatusikii hata siku moja akionya ccm?
[/QUOT]
Kwanza judge namuonaga Kama sio mtzed kbs atukome chadema