Abul Aaliyah
JF-Expert Member
- Nov 8, 2016
- 7,718
- 5,899
Yule ni spika wa bunge yupo entitled kupata matibau kwa gharama za serikali. Jibu hoja je ruzuku ndio kazi yake hiyo?
Kama kawaida yako! Wewe na CHADEMA tu!Kuna mwingine anaishi ubeligiji ila analipwa
Ila mwenyekiti wa mkoa wa Chadema apambane kivyake
Kweli Chadema inawenyewe
Ama kweli nimeamini hili: Ukiingia CCM tu hata kama una akili kiasi gani, akili yote inayeyuka!Nadhani una matatizo binafsi na hawa watu. Nashindwa kutilia maanani "allegations" zako.
CAG ka kagua kaona wako safi. Wewe shida yako ni nini kama mkaguzi mkuu aneridhika na mapato na matumizi ya CHADEMA?Kazi ya ruzuku Ni ipi? Kutibia Viongozi wa vyama au kuwalipia faini wakifanya uhalifu? Msajili wa vyama tusaidie.Mbowe alichukua pesa za ruzuku milioni 400 kea kile kinachoitwa kumtibia Lisu.Wateuana kikundi Cha wezi watatu Mbowe,Godbless Lema na Msigwa wakaa muda mrefu Sana Nairobi wakilipwa pesa za kigeni za ruzuku ya chama kwa kile walichokiita kumuuguza Tundu Lisu Hali wakijua wazi kuwa wao sio madaktari Wala manesi.Walikuwa wakiuguza Nini? Mke wa Lisu alikuwa kule
Msajili tusaidie hili genge la watu wezi watatu walikuwa wakiuguza Nini Nairobi?
Mbowe alichukua milioni 400 kwa kinachoitwa matibabu ya Lisu.Swali Ni je hiyo ndio kazi ya Ruzuku ? Kulipia matibabu na kulipia watu wanajiita waiguzaji wakati fani ya uuguzi hawana ? Mbowe Ni form six division zero,Msigwa mchungaji wa Kanisa la mfukoni hata ukimwambia aonyeshe lilipo hawezi na Godbless Lema alikuwa mwizi wa magari.Walikuwa wanauguza nini
Hivi kuna motisha mpya ya mshiko wa badala ya buku 7 huko Lumumba kelekea uchaguzi mkuu mwaka huu? Naona manazi wamekuja kwa kasi mpya, tena kwa wakati mmoja safari hii na nyuzi nyingi zenye shutuma luluki kwa CDM hasa zikimlenga Mh. Mbowe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana Magufuli alimbwaga CAG fisad Assad special audit ikifanyika ya vyama viwili tu Chadema na ACT wazalendo profesa Assad jela inamhusu
Msajili hafanyi kazi kwa kusikia wambea....mwandikie CAG aambatanishe umbea wako katika report yake.
Da Jamii forum nafikili mpaka tufike October tarehe ya uchaguzi JINA LA MBOWE litakua limepasua vioo vya sim zoteKazi ya ruzuku Ni ipi? Kutibia Viongozi wa vyama au kuwalipia faini wakifanya uhalifu? Msajili wa vyama tusaidie.Mbowe alichukua pesa za ruzuku milioni 400 kea kile kinachoitwa kumtibia Lisu.Wateuana kikundi Cha wezi watatu Mbowe,Godbless Lema na Msigwa wakaa muda mrefu Sana Nairobi wakilipwa pesa za kigeni za ruzuku ya chama kwa kile walichokiita kumuuguza Tundu Lisu Hali wakijua wazi kuwa wao sio madaktari Wala manesi.Walikuwa wakiuguza Nini? Mke wa Lisu alikuwa kule
Msajili tusaidie hili genge la watu wezi watatu walikuwa wakiuguza Nini Nairobi?
Mbowe alichukua milioni 400 kwa kinachoitwa matibabu ya Lisu.Swali Ni je hiyo ndio kazi ya Ruzuku ? Kulipia matibabu na kulipia watu wanajiita waiguzaji wakati fani ya uuguzi hawana ? Mbowe Ni form six division zero,Msigwa mchungaji wa Kanisa la mfukoni hata ukimwambia aonyeshe lilipo hawezi na Godbless Lema alikuwa mwizi wa magari.Walikuwa wanauguza nini
"CAG yeye alikuwa anadanganya..."!!!???Unajua Auditing inavyofanyika? CAG yeye alikuwa anadanganya wanalipa madeni ya chama na kutoa risiti za kufoji. Lazima aingie mkenge.
Asante kwa kunikubumbusha alikuwa anadanganywa."CAG yeye alikuwa anadanganya..."!!!???
Sio kumtetea bali ni mbunge halali.
Chadema
Hicho kichwa chako naona Cha kufugia nywele tu. Haya ni madai mawili tofauti. Bl 8 ni michango aliyolazimisha wabunge wakatwe mishahara ili zitumike kuwasaidia kwenye uchaguzi. Akachikichia. Hizi mil 400 alichukua ruzuku ya chama wanayopewa mgao na serikali nahii hupewa vyama vyote vyenye wabunge. Walichikua wakaenda Nairobi eti kumtibu Lisu. Umeelewa?Kutoka bil 8 had I mil 400 sio mchezo ,nimeamini ukiwa ccm unakuwa kama mtoto mchanga lazima ulale na nepi/ juzi juzi hapa mlikuwa mnalilia BL 8 sahivi imekuwa mil 400
MatagaHivi kuna motisha mpya ya mshiko wa badala ya buku 7 huko Lumumba kelekea uchaguzi mkuu mwaka huu? Naona manazi wamekuja kwa kasi mpya, tena kwa wakati mmoja safari hii na nyuzi nyingi zenye shutuma luluki kwa CDM hasa zikimlenga Mh. Mbowe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona mlisema Chadema imekufa sasa midomo imewasimama kwa Chadema ipi?Kazi ya ruzuku Ni ipi? Kutibia Viongozi wa vyama au kuwalipia faini wakifanya uhalifu? Msajili wa vyama tusaidie.Mbowe alichukua pesa za ruzuku milioni 400 kea kile kinachoitwa kumtibia Lisu.Wateuana kikundi Cha wezi watatu Mbowe,Godbless Lema na Msigwa wakaa muda mrefu Sana Nairobi wakilipwa pesa za kigeni za ruzuku ya chama kwa kile walichokiita kumuuguza Tundu Lisu Hali wakijua wazi kuwa wao sio madaktari Wala manesi.Walikuwa wakiuguza Nini? Mke wa Lisu alikuwa kule