Abul Aaliyah
JF-Expert Member
- Nov 8, 2016
- 7,718
- 5,899
Co kwa gharama zte zle kwan anaugua nn yule andunje wenu mana cku hiz anapandisha kwel mzuka kama ana majini vle?
Sent using Jamii Forums mobile app
Yule ni spika wa bunge yupo entitled kupata matibau kwa gharama za serikali. Jibu hoja je ruzuku ndio kazi yake hiyo?
Sent using Jamii Forums mobile app