Msajili wa vyama tusaidie: Ruzuku kazi yake kutibia Viongozi wa vyama? Mbowe rudisha milioni 400 za matibabu

Watu wakihoji matumizi mabaya ya ruzuku ya Chadema unasema wanatumiwa? Watu wakisema ukweli Ccm imetekeleza ilani yake ya uchaguzi vizuri ni kosa?
 
CCM kila mwezi inapata zaidi ya 1B kutoka serikalini kama ruzuku lakin CDM 300m kila mwezi zinapigiwa kelele, swali mbona hakuna anayehoji matumizi ya CCM zaidi ya 60B kwa miaka mitano?
 
Ulianza vizuri,ila umemaliza vibaya

Luckman1
 
Safari hii sijui mtajiteteaje/ maana Ccm hiko ICU/
 
We mbwa badala ya kumwambia msajili aandikie serikali barua wampe NABII LISSU pesa zake za matibabu unahangaikia mil400 za nini. Mbona CAG aliripoti ndugai kutumia mil800 za walipakodi eti kwa matibabu wkt sio kweli na mmekaa kimya....
Fadhira za ndugai ni kutetea uchafu wa serikali sio kutetea watz
 
Kama kuna ushahidi Wa hill msajili achukue hatua, sio maneno
 
Ndugai alitibiwa kwa pesa za serikali yule ni spika. Ruzuku kinapewa chama kwa ajili ya matumizi ya chama sio matibabu ya mbunge.
Ndege ya rais ilitumika kwa matumizi ya serikali sio ya mtu binafsi.
Hujitambui,bunge ndiyo wanawakilisha wananchi,bunge lilijadili lini matumizi ya fedha za matibabu na kutuma ndege kubeba box 11,NDIYO maana watanzania yunadharaulika sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ooh walioelewa naomba kueleweshwa. Ivi hapa ni milioni 400 za ruzuku kutumika kwenye matibabu , au ni cheti cha Mbowe cha form six ,au kanisa la mchungaji Peter Msigwa ,Au ni wizi wa mmagari wa Mh Lema?
 
Yule ni spika wa bunge yupo entitled kupata matibau kwa gharama za serikali. Jibu hoja je ruzuku ndio kazi yake hiyo?
Kama kweli upo fit kukichwa, eleza kazi ya ruzuku kwa vyama vya siasa ili nasi tupate nondo za kujenga hoja! Na Kama hujui, pisha kule!!!!
 
Kama kweli upo fit kukichwa, eleza kazi ya ruzuku kwa vyama vya siasa ili nasi tupate nondo za kujenga hoja! Na Kama hujui, pisha kule!!!!
Yaani hujui ?kuwa kuna matumizi kama stationery,kununua mafuta ya gari za chama na kulipa mishahara watumishi n.k
 
Hujitambui,bunge ndiyo wanawakilisha wananchi,bunge lilijadili lini matumizi ya fedha za matibabu na kutuma ndege kubeba box 11,NDIYO maana watanzania yunadharaulika sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Mh... Hata ndege ya rais kwenda nje ya nchi lazima bunge lipange safari zake? Au kuna fungu linapitishwa na bunge kwa matumizi ya ofisi ya rais!
 
Ndugai alitibiwa kwa pesa za serikali yule ni spika. Ruzuku kinapewa chama kwa ajili ya matumizi ya chama sio matibabu ya mbunge.
Ndege ya rais ilitumika kwa matumizi ya serikali sio ya mtu binafsi.
Ziko wapi dawa zilizoletwa kwa wananchi? Mbona sijasikia wagonjwa wakipatiwa?
Ndugai alifoji kuwa anakwenda kutibiwa SA na hakwenda Bali alijibanza hapo ununio na Kisha akarejesha shilingi laki mbili bado alikwenda India na kufikia hoteli ya nyota tank badala ya wodini! Kwako Hilo ni sahihi? Mbona yeye hanyooshewi kidole licha ya kutakiwa kuwa mfano kwa kuonyesha adabu ya matumizi ya fedha za serikali!
Ndio maana bunge limekuwa Kama kijiwe Cha kuuzia kangara maana yeye hana moral authority ya kuionya Wala kuishauri serikali kwani anashirikiana nayo kufisidi fedha za umma! Natamani kuiona takukuru ikimchunguza kwa ubadhirifu!
 
Yaani hujui ?kuwa kuna matumizi kama stationery,kununua mafuta ya gari za chama na kulipa mishahara watumishi n.k
Pamoja na matibabu ya waajiriwa wa chama, Mbowe n Lissu waniwemo! Au wao sio waajiriwa wa chama? Huna hoja, piga kimya!
 
Mkuu nakushauri omba wewe kazi ya u-CIAGII naona utaiweza .... huyu wa sasa kweli hafai yaonekana naye ndiyo wale wale .. pesa imeliwa yeye vitabu havionyeshi why? na pia hawa wabunge sijui wanatuzingua, kwa nini wasipeleke muswaada binafsi bungeni ili CDM irudiwe kufanyiwa mahesabu? hawa kina Lijua na wenzake hivi hawajui kundika muswaada binafsi wa kibunge? maana hela zetu zinazidi kupotea tu... maneno mingii action hakuna.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…