Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,734
- 5,750
Watu wakihoji matumizi mabaya ya ruzuku ya Chadema unasema wanatumiwa? Watu wakisema ukweli Ccm imetekeleza ilani yake ya uchaguzi vizuri ni kosa?Wamemwagwa kwenye mitandao yote ya kijamii toka mwezi April, watakuwa huku mpaka baada ya uchaguzi mkuu. Ingia mitandao yote ya kijamii wamejaa. Wengi wana matatizo ya kiuandishi, hawajali koma, nukta wala matumizi ya herufi kubwa. Agenda zao kubwa ni kumsifia Magufuli kwa nguvu zote, kuipaka mafuta NCCR kwa mgongo wa chupa, na kubwa zaidi ni kuichafua cdm hasa Mbowe, na iwapo Lissu atarudi kugombea urais, basi kundi litaongezwa zaidi mitandaoni.