Msajili wa vyama tusaidie: Ruzuku kazi yake kutibia Viongozi wa vyama? Mbowe rudisha milioni 400 za matibabu

Msajili wa vyama tusaidie: Ruzuku kazi yake kutibia Viongozi wa vyama? Mbowe rudisha milioni 400 za matibabu

Pamoja na matibabu ya waajiriwa wa chama, Mbowe n Lissu waniwemo! Au wao sio waajiriwa wa chama? Huna hoja, piga kimya!
Lissu alikuwa mbunge alitakiwa kutibiwa na bunge. Mbowe mpaka sasa analipiwa nyumba na Bunge na anatumia gari ya Bunge. Kuwa muelewa we fala. Hao watishi wa chama sawa. Lakini mtoa mada kauliza kwa nini mil 400 kwa matibabu ya mbunge? Au nazo mlikula alafu mkamdanganya CAG?
 
Haya zwazwa wewe na ubwege mtozeni wako, huyo Lissu mlimtibia? Kwani huyo spika wenu hakai kwenye nyuma za serikali Tena mbili, moja dar na nyingine dodoma pia anatumia zaidi ya magari mawili ya serikali! Huko hukuoni Bali mmekaza mishipa ya shingo na ruzuku ambayo cag hakuona kasoro za matumizi yake!
Wewe ni Nani Hadi uihoji? Kama kweli una guts na ni mwanamme kweli kakodolee macho ruzuku ya ccm na uhoji matumizi yake Kama hutookotwa mto ruvu ukiwa ndani ya kiroba! Acheni ushambenga mtajavalishwa shanga badala ya sanda!
 
Sio tatizo lako. Inaweza kuwa bangi au laana ya Mungu.
 
Jf sihami na Twitter. Wazee wamesema mbowe halipwi anafanya kazi bure mm ni nani niwabishie wazee wa kichaga, kimeru,

Hii ni saccoss ya family
 
Sio tatizo lako. Inaweza kuwa bangi au laana ya Mungu.
Kinywa hunena yaujazao moyo! Na kweli, kuutetea ccm lazima uvute bangi Kama unavyovuta wewe kila siku na haiyumkini umelaaniwa na Mungu kwa kuziacha njia zake na kumsujudia mwanadamu na ccm! Kagongee tubuku Saba ukajilie mihogo wakulungwa!
 
Kazi ya ruzuku Ni ipi? Kutibia Viongozi wa vyama au kuwalipia faini wakifanya uhalifu? Msajili wa vyama tusaidie.Mbowe alichukua pesa za ruzuku milioni 400 kea kile kinachoitwa kumtibia Lisu.Wateuana kikundi Cha wezi watatu Mbowe,Godbless Lema na Msigwa wakaa muda mrefu Sana Nairobi wakilipwa pesa za kigeni za ruzuku ya chama kwa kile walichokiita kumuuguza Tundu Lisu Hali wakijua wazi kuwa wao sio madaktari Wala manesi.Walikuwa wakiuguza Nini? Mke wa Lisu alikuwa kule

Msajili tusaidie hili genge la watu wezi watatu walikuwa wakiuguza Nini Nairobi?

Mbowe alichukua milioni 400 kwa kinachoitwa matibabu ya Lisu.Swali Ni je hiyo ndio kazi ya Ruzuku ? Kulipia matibabu na kulipia watu wanajiita waiguzaji wakati fani ya uuguzi hawana ? Mbowe Ni form six division zero,Msigwa mchungaji wa Kanisa la mfukoni hata ukimwambia aonyeshe lilipo hawezi na Godbless Lema alikuwa mwizi wa magari.Walikuwa wanauguza nini
Uwe tayari kutoa ushahidi wa madai yako ya chuki dhidi ya viongozi wa kiboko chenu, CDM. Unajua kiasi cha fedha alichotumia kada wa ccm, Ndugai, alipoenda India? Mabilioni.
Uongozi ni karama. CCM imejaza bora wasomi baadhi yao wa ngazi ya PhD na si wasomi bora. Matendo na kauli za bora wasomi vinatia simanzi. Mtoa uzi pia anaonekana hata hiyo elimu ya sekondari hana. Lakini viongozi wa cdm unaobeza wako vizuri. wananyima ccm usingizi.
 
Back
Top Bottom