chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Kumekuwa na tetesi za magenge ya wanasiasa wa chadema, akiwemo Mdude Nyagali kukusanya makundi ya vijana na kuyapa silaha za aina mbalimbali ili waje nazo kwenye uchaguzi mkuu wa chama changu cha chadema. Hili pia linafanywa na Heche. Taarifa zinasema wamejipanga kufanya vurugu kubwa sana nje na ndani ya ukumbi wa mkutano
Japo demokrasia ni muhimu, lakini haiwezi kuzidi umuhimu wa maisha na amani ya nchi.
Nashauri vyombo vya dola vichunguze kwa kina na kisha vimshauri Msajili wa Vyama vya siasa namna bora ya kushughulikia tahadhari ya kiusalama