Mtu Asiyejulikana
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 2,254
- 5,161
Kidumu Chama Cha MambuziMimi CDM siku nyingi sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kidumu Chama Cha MambuziMimi CDM siku nyingi sana
Wewe si ni mwana CCM.Kumekuwa na tetesi za magenge ya wanasiasa wa chadema, akiwemo Mdude Nyagali kukusanya makundi ya vijana na kuyapa silaha za aina mbalimbali ili waje nazo kwenye uchaguzi mkuu wa chama changu cha chadema. Hili pia linafanywa na Heche. Taarifa zinasema wamejipanga kufanya vurugu kubwa sana nje na ndani ya ukumbi wa mkutano
Japo demokrasia ni muhimu, lakini haiwezi kuzidi umuhimu wa maisha na amani ya nchi.
Nashauri vyombo vya dola vichunguze kwa kina na kisha vimshauri Msajili wa Vyama vya siasa namna bora ya kushughulikia tahadhari ya kiusalama
TakatakaKumekuwa na tetesi za magenge ya wanasiasa wa chadema, akiwemo Mdude Nyagali kukusanya makundi ya vijana na kuyapa silaha za aina mbalimbali ili waje nazo kwenye uchaguzi mkuu wa chama changu cha chadema. Hili pia linafanywa na Heche. Taarifa zinasema wamejipanga kufanya vurugu kubwa sana nje na ndani ya ukumbi wa mkutano
Japo demokrasia ni muhimu, lakini haiwezi kuzidi umuhimu wa maisha na amani ya nchi.
Nashauri vyombo vya dola vichunguze kwa kina na kisha vimshauri Msajili wa Vyama vya siasa namna bora ya kushughulikia tahadhari ya kiusalama
Kumekuwa na tetesi za magenge ya wanasiasa wa chadema, akiwemo Mdude Nyagali kukusanya makundi ya vijana na kuyapa silaha za aina mbalimbali ili waje nazo kwenye uchaguzi mkuu wa chama changu cha chadema. Hili pia linafanywa na Heche. Taarifa zinasema wamejipanga kufanya vurugu kubwa sana nje na ndani ya ukumbi wa mkutano
Japo demokrasia ni muhimu, lakini haiwezi kuzidi umuhimu wa maisha na amani ya nchi.
Nashauri vyombo vya dola vichunguze kwa kina na kisha vimshauri Msajili wa Vyama vya siasa namna bora ya kushughulikia tahadhari ya kiusalama
Watachapwa hadi wajinyeeeKumekuwa na tetesi za magenge ya wanasiasa wa chadema, akiwemo Mdude Nyagali kukusanya makundi ya vijana na kuyapa silaha za aina mbalimbali ili waje nazo kwenye uchaguzi mkuu wa chama changu cha chadema. Hili pia linafanywa na Heche. Taarifa zinasema wamejipanga kufanya vurugu kubwa sana nje na ndani ya ukumbi wa mkutano
Japo demokrasia ni muhimu, lakini haiwezi kuzidi umuhimu wa maisha na amani ya nchi.
Nashauri vyombo vya dola vichunguze kwa kina na kisha vimshauri Msajili wa Vyama vya siasa namna bora ya kushughulikia tahadhari ya kiusalama
sasa kama ni ccm ndiyo ulete vurugu humu?Mimi CDM siku nyingi sana