Msajili wa vyama vya Siasa hawa umri unawaruhusu?

Mapambano Yetu

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2012
Posts
1,130
Reaction score
2,102
Nadhani kwa vile wahusika ni makada wenzio huwezi toa neno bali utasubiri mpaka upande wa pili nao ufanye hivyo kama ilivyokuwa kwenye makamanda
 
Ukiamini hakuna Mungu utafanya mambo mengi kwa usahihi, Mungu ni upofu ulioletwa na dini
 
Namuonea huruma huyo Binti, bado umri ni mdogo ameingia kwenye kundi lililojaa wazinzi na uchafu wa kila aina, waroho watamwaribu mapema sana, na hatofika mbali. Lawama kwa wazazi.
 
Namuonea huruma huyo Binti, bado umri ni mdogo ameingia kwenye kundi lililojaa wazinzi na uchafu wa kila aina, waroho watamwaribu mapema sana, na hatofika mbali. Lawama kwa wazazi.
Halafu umri huu huu wanasema hawezi kuolewa! Wanataka wawabandue tu mapema kama ilenyama ya ngombe inayoitwa veal.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…