Mapambano Yetu
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 1,130
- 2,102
Nadhani kwa vile wahusika ni makada wenzio huwezi toa neno bali utasubiri mpaka upande wa pili nao ufanye hivyo kama ilivyokuwa kwenye makamanda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mbna haya mambo yalishaanza siku nyingi sanaNadhani kwa vile wahusika ni makada wenzio huwezi toa neno bali utasubiri mpaka upande wa pili nao ufanye hivyo kama ilivyokuwa kwenye makamandaView attachment 1292043View attachment 1292044View attachment 1292044
Hahahaaaa, Weee jamaaaa ushindweUkiamini hakuna Mungu utafanya mambo mengi kwa usahihi, Mungu ni upofu ulioletwa na dini
Halafu umri huu huu wanasema hawezi kuolewa! Wanataka wawabandue tu mapema kama ilenyama ya ngombe inayoitwa veal.Namuonea huruma huyo Binti, bado umri ni mdogo ameingia kwenye kundi lililojaa wazinzi na uchafu wa kila aina, waroho watamwaribu mapema sana, na hatofika mbali. Lawama kwa wazazi.
Ngoja akirudi likizo ndefu atakujibu ila na wewe umpelekee ushahidi sio hii sampo ya mtandaoni, ni vizuri kama utawabeba na kuwapeleka ofisini kwake.Nadhani kwa vile wahusika ni makada wenzio huwezi toa neno bali utasubiri mpaka upande wa pili nao ufanye hivyo kama ilivyokuwa kwenye makamandaView attachment 1292043View attachment 1292044View attachment 1292044
Hawa Ndio viongozi wa kesho