PreGE2025 Msajili wa Vyama vya siasa: Mnyika, Golugwa na Lema sio viongozi CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
"Ofisi ya Msajili wa Vyama vya siasa inapenda kuwafahamisha wananchi, wadau na Taasisi zote za serikali na binafsi kuwa wanachama tajwa sio viongozi wa Chadema,

1. Bwana John Mnyika

2. Amani Golugwa

3. Ali Ibrahim Juma

4. Godbless Lema

5. Dkt. Rugemeleza Nshala

6. Rose Mayemba

7. Salima Kasanzu

8. Hafidh Ali Salehe

9. Viongozi na watendaji wote walioteuliwa na Viongozi waliopatikana kwenye Kikao cha Baraza kuu la Januari 22, 2025

10. Viongozi na watendaji wote walioteuliwa kwa mamlaka za Chama kushauriana na Viongozi waliopatikana Januari 22, 2025." -Ofisi ya Msajili wa Vyama vya siasa.
 
Screenshot_20250527_193958_X.jpg
Hatua ya Ofisi ya msajili wa Vyama vya siasa imefikiwa mara baada ya kueleza kuwa Chadema imekaidi mara kadhaa maamuzi ya Ofisi ya msajili, ikiwemo taarifa ya Mei 25, 2025, ambapo Makamu Mwenyekiti wa Chadema John Heche akisoma Maazimio ya Kamati kuu ya Chama, alieleza kuwa maamuzi na maelekezo ya Msajili wa Vyama vya siasa kuhusu malalamiko ya Bw. Lembrus Mchome ni batili na hawatoyafanyia
 
Watakufa njaa.
Heche hana pa kula tena. mirija imekatwa.
Watajuta kumtukana Mbowe.
Mh. Mbowe aliwatahadharisha kuwa acheni kuwapa chama hawa wahuni! sasa matokeo ndio haya.
 
View attachment 3347798 Hatua ya Ofisi ya msajili wa Vyama vya siasa imefikiwa mara baada ya kueleza kuwa Chadema imekaidi mara kadhaa maamuzi ya Ofisi ya msajili, ikiwemo taarifa ya Mei 25, 2025, ambapo Makamu Mwenyekiti wa Chadema John Heche akisoma Maazimio ya Kamati kuu ya Chama, alieleza kuwa maamuzi na maelekezo ya Msajili wa Vyama vya siasa kuhusu malalamiko ya Bw. Lembrus Mchome ni batili na hawatoyafanyia
Makala wa Mpox aliwafanya nini sisiemu?
 
"Ofisi ya Msajili wa Vyama vya siasa inapenda kuwafahamisha wananchi, wadau na Taasisi zote za serikali na binafsi kuwa wanachama tajwa sio viongozi wa Chadema,

1. Bwana John Mnyika

2. Amani Golugwa

3. Ali Ibrahim Juma

4. Godbless Lema

5. Dkt. Rugemeleza Nshala

6. Rose Mayemba

7. Salima Kasanzu

8. Hafidh Ali Salehe

9. Viongozi na watendaji wote walioteuliwa na Viongozi waliopatikana kwenye Kikao cha Baraza kuu la Januari 22, 2025

10. Viongozi na watendaji wote walioteuliwa kwa mamlaka za Chama kushauriana na Viongozi waliopatikana Januari 22, 2025." -Ofisi ya Msajili wa Vyama vya siasa.
Hayo ni maneno,vipi,ukweli haki,uhuru,uhalisia wa yasemwayo,uchaguzi aliwafanyia yeye,chama twawala,ama?Hata atake kuwafanyia mabadiliko kwa matakwa ya mtwawala
 
"Ofisi ya Msajili wa Vyama vya siasa inapenda kuwafahamisha wananchi, wadau na Taasisi zote za serikali na binafsi kuwa wanachama tajwa sio viongozi wa Chadema,

1. Bwana John Mnyika
2. Amani Golugwa
3. Ali Ibrahim Juma
4. Godbless Lema
5. Dkt. Rugemeleza Nshala
6. Rose Mayemba
7. Salima Kasanzu
8. Hafidh Ali Salehe

9. Viongozi na watendaji wote walioteuliwa na Viongozi waliopatikana kwenye Kikao cha Baraza kuu la Januari 22, 2025

10. Viongozi na watendaji wote walioteuliwa kwa mamlaka za Chama kushauriana na Viongozi waliopatikana Januari 22, 2025." -Ofisi ya Msajili wa Vyama vya siasa.
 
"Ofisi ya Msajili wa Vyama vya siasa inapenda kuwafahamisha wananchi, wadau na Taasisi zote za serikali na binafsi kuwa wanachama tajwa sio viongozi wa Chadema,

1. Bwana John Mnyika

2. Amani Golugwa

3. Ali Ibrahim Juma

4. Godbless Lema

5. Dkt. Rugemeleza Nshala

6. Rose Mayemba

7. Salima Kasanzu

8. Hafidh Ali Salehe

9. Viongozi na watendaji wote walioteuliwa na Viongozi waliopatikana kwenye Kikao cha Baraza kuu la Januari 22, 2025

10. Viongozi na watendaji wote walioteuliwa kwa mamlaka za Chama kushauriana na Viongozi waliopatikana Januari 22, 2025." -Ofisi ya Msajili wa Vyama vya siasa.
Atupe na risti na ya Viongozi wa Chauma kabla hawajalambishwa asali
 
Magufuli alisitisha hiyo Ruzuku na Chadema wala haikufa.

Acha asitishe hiyo ruzuku kwa maelekezo ya Bwana zake CCM. Watanzania tutaichangia na kiuhudumia Chadema kwa wivu mkubwa na kamwe hatutachoka.
NGOJA NITUME TONE YANGU UCKU HUU. MSAJILI JAJI MBURULA OVYO LILAANIWE
 
Naenda kufungua kesi kuwazuia wasifanye kazi zozote za chadema
 
Back
Top Bottom