Village-in
JF-Expert Member
- Aug 30, 2022
- 2,416
- 5,009
YesCHADEMA impeleke huyu msajili Mahakamani.
YesCHADEMA impeleke huyu msajili Mahakamani.
Kumbe we naye shoga tu.This time mtakuwa deregistered maana hamna viongozi wenye busara. Mna wabishi na waropokaji tu.
Mtamkumbuka Mbowe
Inawezekana jamaa akawa ndiyo SHETANI mwenyewe si bureShetani hajawahi kumshinda Mungu
Mahakama zipi mzeeCHADEMA impeleke huyu msajili Mahakamani.
Mahakama hizi za kupigiwa simu kama alivyosema Rostam?CHADEMA impeleke huyu msajili Mahakamani.
HatoshindaInawezekana jamaa akawa ndiyo SHETANI mwenyewe si bure
Msajili anakomaa na chadema huku CCM kunafuka Moshi"Ofisi ya Msajili wa Vyama vya siasa inapenda kuwafahamisha wananchi, wadau na Taasisi zote za serikali na binafsi kuwa wanachama tajwa sio viongozi wa Chadema,
1. Bwana John Mnyika
2. Amani Golugwa
3. Ali Ibrahim Juma
4. Godbless Lema
5. Dkt. Rugemeleza Nshala
6. Rose Mayemba
7. Salima Kasanzu
8. Hafidh Ali Salehe
9. Viongozi na watendaji wote walioteuliwa na Viongozi waliopatikana kwenye Kikao cha Baraza kuu la Januari 22, 2025
10. Viongozi na watendaji wote walioteuliwa kwa mamlaka za Chama kushauriana na Viongozi waliopatikana Januari 22, 2025." -Ofisi ya Msajili wa Vyama vya siasa.
Atasindikizwa na teke la nguvu na ngumi ya mgongoni muda si mrefuUnahaha bado.
Vipi Gwajima mnamfukuza lini?
Safi sana!"Ofisi ya Msajili wa Vyama vya siasa inapenda kuwafahamisha wananchi, wadau na Taasisi zote za serikali na binafsi kuwa wanachama tajwa sio viongozi wa Chadema,
1. Bwana John Mnyika
2. Amani Golugwa
3. Ali Ibrahim Juma
4. Godbless Lema
5. Dkt. Rugemeleza Nshala
6. Rose Mayemba
7. Salima Kasanzu
8. Hafidh Ali Salehe
9. Viongozi na watendaji wote walioteuliwa na Viongozi waliopatikana kwenye Kikao cha Baraza kuu la Januari 22, 2025
10. Viongozi na watendaji wote walioteuliwa kwa mamlaka za Chama kushauriana na Viongozi waliopatikana Januari 22, 2025." -Ofisi ya Msajili wa Vyama vya siasa.
Waendelee kukaza fuvu ,hata tone tone wataisikia hewani 😁😁"Ofisi ya Msajili wa Vyama vya siasa inapenda kuwafahamisha wananchi, wadau na Taasisi zote za serikali na binafsi kuwa wanachama tajwa sio viongozi wa Chadema,
1. Bwana John Mnyika
2. Amani Golugwa
3. Ali Ibrahim Juma
4. Godbless Lema
5. Dkt. Rugemeleza Nshala
6. Rose Mayemba
7. Salima Kasanzu
8. Hafidh Ali Salehe
9. Viongozi na watendaji wote walioteuliwa na Viongozi waliopatikana kwenye Kikao cha Baraza kuu la Januari 22, 2025
10. Viongozi na watendaji wote walioteuliwa kwa mamlaka za Chama kushauriana na Viongozi waliopatikana Januari 22, 2025." -Ofisi ya Msajili wa Vyama vya siasa.
Unahangaika kama una mimba ya kujifungua, chadema haifi wewe!This time mtakuwa deregistered maana hamna viongozi wenye busara. Mna wabishi na waropokaji tu.
Mtamkumbuka Mbowe
Tofauti ya siasa za chama cha siasa kinachojipanga kunyakua madaraka ya serikali na siasa za wanaharakati.This time mtakuwa deregistered maana hamna viongozi wenye busara. Mna wabishi na waropokaji tu.
Mtamkumbuka Mbowe
Watakuwa viongozi halali.Ikitokea wakaitisha kikao kisha wakapitisha watu hao hao?
Ndio hoja zinavyojibiwa Lumumba huko?Atasindikizwa na teke la nguvu na ngumi ya mgongoni muda si mrefu