PreGE2025 Msajili wa Vyama vya siasa: Mnyika, Golugwa na Lema sio viongozi CHADEMA

PreGE2025 Msajili wa Vyama vya siasa: Mnyika, Golugwa na Lema sio viongozi CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Ikitokea wakaitisha kikao kisha wakapitisha watu hao hao?
CHADEMA wana roho ya kihamss.kule gaza viongozi wa hamass wamefyelelewa mbali .lakini amasalia yanaendelea kukomaa wakiamii ALLAH atafanya muujiza kwao washinde vita😉
 
Mbona hazungumzii kuhusu kumtambua mgombea uraisi wa chama chake na boss wake aliepitishwa kugombea uraisi kinyume na katiba ya chama?.

Vyama vya upinzani vinaonewa sana katika hili taifa....
 
Back
Top Bottom