Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
"Ofisi ya Msajili wa Vyama vya siasa inapenda kuwafahamisha wananchi, wadau na Taasisi zote za serikali na binafsi kuwa wanachama tajwa sio viongozi wa Chadema,
1. Bwana John Mnyika
2. Amani Golugwa
3. Ali Ibrahim Juma
4. Godbless Lema
5. Dkt. Rugemeleza Nshala
6. Rose Mayemba
7. Salima Kasanzu
8. Hafidh Ali Salehe
9. Viongozi na watendaji wote walioteuliwa na Viongozi waliopatikana kwenye Kikao cha Baraza kuu la Januari 22, 2025
10. Viongozi na watendaji wote walioteuliwa kwa mamlaka za Chama kushauriana na Viongozi waliopatikana Januari 22, 2025." -Ofisi ya Msajili wa Vyama vya siasa.
Atasema wamechelewa😊😊. Yeye hua anaona makosa ya vyama vya upinzani tu.Ikitokea wakaitisha kikao kisha wakapitisha watu hao hao?
Makala wa Mpox aliwafanya nini sisiemu?View attachment 3347798 Hatua ya Ofisi ya msajili wa Vyama vya siasa imefikiwa mara baada ya kueleza kuwa Chadema imekaidi mara kadhaa maamuzi ya Ofisi ya msajili, ikiwemo taarifa ya Mei 25, 2025, ambapo Makamu Mwenyekiti wa Chadema John Heche akisoma Maazimio ya Kamati kuu ya Chama, alieleza kuwa maamuzi na maelekezo ya Msajili wa Vyama vya siasa kuhusu malalamiko ya Bw. Lembrus Mchome ni batili na hawatoyafanyia
Hayo ni maneno,vipi,ukweli haki,uhuru,uhalisia wa yasemwayo,uchaguzi aliwafanyia yeye,chama twawala,ama?Hata atake kuwafanyia mabadiliko kwa matakwa ya mtwawala"Ofisi ya Msajili wa Vyama vya siasa inapenda kuwafahamisha wananchi, wadau na Taasisi zote za serikali na binafsi kuwa wanachama tajwa sio viongozi wa Chadema,
1. Bwana John Mnyika
2. Amani Golugwa
3. Ali Ibrahim Juma
4. Godbless Lema
5. Dkt. Rugemeleza Nshala
6. Rose Mayemba
7. Salima Kasanzu
8. Hafidh Ali Salehe
9. Viongozi na watendaji wote walioteuliwa na Viongozi waliopatikana kwenye Kikao cha Baraza kuu la Januari 22, 2025
10. Viongozi na watendaji wote walioteuliwa kwa mamlaka za Chama kushauriana na Viongozi waliopatikana Januari 22, 2025." -Ofisi ya Msajili wa Vyama vya siasa.
Atupe na risti na ya Viongozi wa Chauma kabla hawajalambishwa asali"Ofisi ya Msajili wa Vyama vya siasa inapenda kuwafahamisha wananchi, wadau na Taasisi zote za serikali na binafsi kuwa wanachama tajwa sio viongozi wa Chadema,
1. Bwana John Mnyika
2. Amani Golugwa
3. Ali Ibrahim Juma
4. Godbless Lema
5. Dkt. Rugemeleza Nshala
6. Rose Mayemba
7. Salima Kasanzu
8. Hafidh Ali Salehe
9. Viongozi na watendaji wote walioteuliwa na Viongozi waliopatikana kwenye Kikao cha Baraza kuu la Januari 22, 2025
10. Viongozi na watendaji wote walioteuliwa kwa mamlaka za Chama kushauriana na Viongozi waliopatikana Januari 22, 2025." -Ofisi ya Msajili wa Vyama vya siasa.
Hiyo ni juu yenu, sheria akidi itimie siyo kuita kikao cha familia halafu mnapeana vyeo bila utaharibu.Ikitokea wakaitisha kikao kisha wakapitisha watu hao hao?
Wale wanajulikana wameteuliwa na mwenyekiti. Na Chadema mseme wameteuliwa kama wale wa chaumma muone msajili atasemaje.Atupe na risti na ya Viongozi wa Chauma kabla hawajalambishwa asali
This time mtakuwa deregistered maana hamna viongozi wenye busara. Mna wabishi na waropokaji tu.Mutungi hutaweza kuishinda Chadema, utang'olewa utaiacha
NGOJA NITUME TONE YANGU UCKU HUU. MSAJILI JAJI MBURULA OVYO LILAANIWEMagufuli alisitisha hiyo Ruzuku na Chadema wala haikufa.
Acha asitishe hiyo ruzuku kwa maelekezo ya Bwana zake CCM. Watanzania tutaichangia na kiuhudumia Chadema kwa wivu mkubwa na kamwe hatutachoka.
Nauli unayo?Naenda kufungua kesi kuwazuia wasifanye kazi zozote za chadema