PreGE2025 Msajili wa Vyama vya siasa: Mnyika, Golugwa na Lema sio viongozi CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
CCM NI SUMU YA PANYA
 
Mshauri awateulie yeye.
 
Watakufa njaa.
Heche hana pa kula tena. mirija imekatwa.
Watajuta kumtukana Mbowe.
Mh. Mbowe aliwatahadharisha kuwa acheni kuwapa chama hawa wahuni! sasa matokeo ndio haya.
Umeandika kijinga sana
 
Chadema ipo na itasurvive bila hizo ruzuku amnbazo ni pesa zetu za kodi.
Tutaichangia Chadema na MUNGU yupo upande wa Chadema maana wanasimamia haki.
 
HALAFU LIJITU LINAKATAA NO REFORM NO ELECTION KWA MAMBO KAMA HAYA
 
Hii nchi ina viongozi wa HOVYO kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…