PreGE2025 Msajili wa Vyama vya siasa: Mnyika, Golugwa na Lema sio viongozi CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Msajili anakomaa na chadema huku CCM kunafuka Moshi
 
Safi sana!
 
Wanasheria wa Chadema wanachukua hatua gani ya kisheria kupinga maelekezo ya Msajili. Mna kinga gani ya ziada kuhusu uamuzi huu.
 
Waendelee kukaza fuvu ,hata tone tone wataisikia hewani 😁😁
 
Chadema kwa sasa ina pambana na kila mtu.
1. Serekali
2. Polisi
3. Mahakama
4. Msajili wa vyama
5. Ccm
6. Chaumma
7. Vyama vyote vya siasa wakiongozwa na ACT wazalendo na Usalama wa taifa.
Lakini chadema itabaki imara. Chadema ni chama kilichopo kwenye miyoyo ya watu. Ni taasisi kubwa ambayo tayati ina mizizi na imeshaaminiwa na mamilioni ya watu. si rahisi kuiua kama baadhi ya watu wanavyo jaribu kufikiri.
NoReformNoElection.
FreeTunduLissu
 
Aisee policcm,mahakama,bunge,ikulu,tiss,msajili,wote wanapambana na kitu kimoja tu,cdm
 
This time mtakuwa deregistered maana hamna viongozi wenye busara. Mna wabishi na waropokaji tu.

Mtamkumbuka Mbowe
Unahangaika kama una mimba ya kujifungua, chadema haifi wewe!
 
This time mtakuwa deregistered maana hamna viongozi wenye busara. Mna wabishi na waropokaji tu.

Mtamkumbuka Mbowe
Tofauti ya siasa za chama cha siasa kinachojipanga kunyakua madaraka ya serikali na siasa za wanaharakati.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…