Stuxnet JF-Expert Member Joined Feb 12, 2011 Posts 18,875 Reaction score 29,427 May 28, 2025 #61 HIMARS said: Kumbe we naye shoga tu. Click to expand... Kwani wewe siyo shoga? Umeacha lini?
Stuxnet JF-Expert Member Joined Feb 12, 2011 Posts 18,875 Reaction score 29,427 May 28, 2025 #62 Arizona 1 said: Unahangaika kama una mimba ya kujifungua, chadema haifi wewe! Click to expand... Kwani wewe uneshajufungua tayari? Mtoto gani?
Arizona 1 said: Unahangaika kama una mimba ya kujifungua, chadema haifi wewe! Click to expand... Kwani wewe uneshajufungua tayari? Mtoto gani?
Dr hyperkid JF-Expert Member Joined Jun 7, 2019 Posts 13,987 Reaction score 27,554 May 28, 2025 #63 ni jambo jema kwa uma wa watanzania
Z ZALEMDA JF-Expert Member Joined Aug 15, 2017 Posts 2,275 Reaction score 2,383 May 28, 2025 #64 HIMARS said: Ikitokea wakaitisha kikao kisha wakapitisha watu hao hao? Click to expand... CHADEMA wana roho ya kihamss.kule gaza viongozi wa hamass wamefyelelewa mbali .lakini amasalia yanaendelea kukomaa wakiamii ALLAH atafanya muujiza kwao washinde vita😉
HIMARS said: Ikitokea wakaitisha kikao kisha wakapitisha watu hao hao? Click to expand... CHADEMA wana roho ya kihamss.kule gaza viongozi wa hamass wamefyelelewa mbali .lakini amasalia yanaendelea kukomaa wakiamii ALLAH atafanya muujiza kwao washinde vita😉
-ArkadHill JF-Expert Member Joined Nov 1, 2023 Posts 1,669 Reaction score 2,806 May 28, 2025 #65 Mbona hazungumzii kuhusu kumtambua mgombea uraisi wa chama chake na boss wake aliepitishwa kugombea uraisi kinyume na katiba ya chama?. Vyama vya upinzani vinaonewa sana katika hili taifa....
Mbona hazungumzii kuhusu kumtambua mgombea uraisi wa chama chake na boss wake aliepitishwa kugombea uraisi kinyume na katiba ya chama?. Vyama vya upinzani vinaonewa sana katika hili taifa....