Wana CCM tumekaa kimya wengi wetu si kuwa tumeridhishwa na mchakato wa kumpata mgombea la hasha ni kuwa hatuna la kufanya waswahili wanasema mwenye nguvu mpishe.
Nimeona umechukua hatua kwa viongozi wa Chadema na kutangaza kutotambua wajumbe wa secretariat. Nakusihi na huku kwetu CCM umulike mchakato haukufutwa hakukua na ushindani wa nafasi ya mgombea Urais.
Ni hayo tu..
Soma pia: Pre GE2025 - John Mnyika: Msajili aeleze kitendo cha CCM kukiuka Katiba ya CCM wakati wa kumteua Mgombea Ur
Acha nicheke kwanza, anawezaje kugusa kiti cha malkia anayefanya aendelee kuwepo hapo ofisini. Hii ni Tanzania, tuna safari ndefu kidogo kuiona haki ikitendeka kwenye siasa zetu