Tetesi: Msajili wa Vyama vya Siasa Na Prof. Lipumba Kufikishwa Mahakamani

Tetesi: Msajili wa Vyama vya Siasa Na Prof. Lipumba Kufikishwa Mahakamani

Haya ngoja tuangalie kideo. Ila kwa kesi ipi mkuu?
 
Bwana yule wamkatie huduma ya maji na umeme,atatoka tu kwenye shimo lake hapo Buguruni,ikishindikana basi masela watafute viroba vitano vya nyuki,wale wadudu hatari,wawawekee pilipili kichaa ndani ya viroba,wavitikise hivyo viroba kama dakika tano hivi kuwatia nyuki hasira,halafu wakaviachie ndani ya jengo alilojificha prof,atatoka tu,na hao wenye silaha za jadi watazitupa bila tatizo,nyuki hawana mchezo bhana,na nyuki wakishakutambua hawakuachii,watakumbiza hata uende wapi,ukiingia kwenye maji,wao wanabaki juu wanazengea,ukitoa jicho uchungulie kama bado wapo(kama anavyopenda kufanya bwana yule)wanakudunga,unarudi majini,lazima uelewe somo tu hata kama umezaliwa Tabora.
 
Safi ndo tutajua kama na mahakama NAyo imetiwa mfukoni ili tuanze kuadhibiana wenyewe kama haki itakosekana kwenye vyombo vyenye dhamana. Asilalamike MTU tukiamua kuchukua sheria mkononi.
 
bwana yule wamkatie huduma ya maji na umeme,atatoka tu kwenye shimo lake hapo buguruni,ikishindikana basi masela watafute viroba vitano vya nyuki,wale wadudu hatari,wawawekee pilipili kichaa ndani ya viroba,wavitikise hivyo viroba kama dakika tano hivi,halafu wakaviachie ndani ya jengo alilojificha prof,atatoka tu,na hao wenye silaha za jadi watazitupa bila tatizo,nyuki hawana mchezo bhana
Huyo atachomokaa humo soon kwa moshi wa sumu ngoja ifike toka south africa
 
CUF wajifunze kufuata utaratibu wa chama chao.
Makosa haya ya kutokufuata taratibu yataendelea kupotezea Muda watu au inawezekana wengine wanafurahi maana wanapata pa kujifiuchia baada ya kukimbia na UKUTA WAO.
 
Poa sana hoyoo, namuamini kamanda lisu
 
Baada ya UKUTA kufeli sasa CHADEMA wanatafutia Kiki Kwenye mgogoro wa CUF
 
Lipu kaikamata sawa sawa ukawa iko inahaha.lipu ndoo mwenyekiti wa cuf.hapo ndoo kwenye ruzuku ndio maana anapakiwisha viongozi wa cuf.
 
Mwanasheria wa CHADEMA Tundu Lissu (Mb), ameteuliwa na jopo la mawakili la UKAWA, kuongoza jopo la Mawakili kuwaburuza mahakamani Msajili wa Vyama vya Siasa na Prof. Ibrahimu Lipumba.Wameamua kutomuita jina lake na kumpachika jina la 'BWANA YULE'
Mbona mnapaparika?mara mwenye jengo anataka jengo lake,mara sefu kuingia ofisini na wabunge na mameya lakini siku zinaenda tu
Chadema Mtahangaika sana tu,wenzenu wanaegemea katiba ya cuf tu.Lipumba bado mwenyekiti
 
Kwani katiba ya CUf inasemaje? ? Mkilijua hilo huu uzi wala hautakuwa mrefu
 
Hii habari imeandikwa na gazeti la TanzaniaDaima la leo na nliileta hapa asubuhi ila iliunganishwa na uzi mwingine ambao sidhani kama ulikuwa ni uzi sahihi.
 
Back
Top Bottom