Tetesi: Msajili wa Vyama vya Siasa Na Prof. Lipumba Kufikishwa Mahakamani

Bongo kujiuzulu ni ndoto hata kama atakutwa na hatia
Na hata akijiuzulu bado bado anaweza kurudi baada ya mwaka akasema ametengua kujiuzulu kwake, hata kama kipindi amejiuzulu alikwishateuliwa mwengine kushika nafasi yake
 
Wacha kutoa Povu Mkuu.
Nyie issues za CDM,CUF mko Mstari wa mbele kuzisema tena na Povu na Mikia Juu.
Leo CDM wakisema kuhusu CUF una Mamlaka gan ya kuwazuia ?
Sina taabu kabisa. Endeleeni kushughulikia hiyo migogoro tu. Nawatakia kila la kheri.
 
Kwa jinsi ambavyo tumeona vyama washirika vya UKAWA kuamua kumbruza mahakamani msajili wa vyama vya siasa kwa kile kinachodaiwa kumbeba kimaamuzi aliyekua mwenyekiti wa CUF Prof Ibrahim Lipumba, hiki ni kitendo cha aibu sana kwa mtu wa hadhi ya msajili wa vyama vya siasa, hii hali itaifanya Ofisi yake kutokuaminiwa tena na wananchi.

Hii inawezekana kabisa hata kuna viashiria vya rushwa ndani yake. Kutokuaminiwa kwa Ofisi ya msajili kama mlezi wa vyama vya siasa tayari kunahisiwa kua msajili ana maslahi binafsi na baadhi ya maamuzi kitu ambacho kinampelekea kukosa sifa dhabiti za kukalia kiti hicho.

Tayari anachukuliwa kama mtu asiyeweza kutoa maamuzi kwa Misingi ya haki. Hivyo ikitokea akashindwa kesi inabidi ajiuzulu nafasi yake kwa lazima maana atakua amedhihirisha kua ana tatizo.
Kwani ameiba au anaburuzwa kwa mashauri ya madai
Mbona mwanasheria mkuu anaburuzwa kwa kila kesi ya uchaguzi na kazi zinakwenda tu
Kama msajili ataburuzwa litakuwa ni hitaji la kisheria tu lakini si kwamba amefanya makosa
Chadema kuingilia na kushabikia masuala ya cuf,ni kuzidi kuboa upinzani
 
Mutungi ameufanya ujaji uonekane ni jambo la mchezo-mchezo
Nchi hii tumeanza kupoteza heshima ya Uprofesa sa huyu naye analetea dharau ujaji.
Sasa kila kitu tulichokuwa tunaheshimu kinapoteza heshima. Hata PhD nazo tunaanza kuwa na mashaka nazo
 
Kwa jinsi ambavyo tumeona vyama washirika vya UKAWA kuamua kumbruza mahakamani msajili wa vyama vya siasa kwa kile kinachodaiwa kumbeba kimaamuzi aliyekua mwenyekiti wa CUF Prof Ibrahim Lipumba, hiki ni kitendo cha aibu sana kwa mtu wa hadhi ya msajili wa vyama vya siasa, hii hali itaifanya Ofisi yake kutokuaminiwa tena na wananchi.

Hii inawezekana kabisa hata kuna viashiria vya rushwa ndani yake. Kutokuaminiwa kwa Ofisi ya msajili kama mlezi wa vyama vya siasa tayari kunahisiwa kua msajili ana maslahi binafsi na baadhi ya maamuzi kitu ambacho kinampelekea kukosa sifa dhabiti za kukalia kiti hicho.

Tayari anachukuliwa kama mtu asiyeweza kutoa maamuzi kwa Misingi ya haki. Hivyo ikitokea akashindwa kesi inabidi ajiuzulu nafasi yake kwa lazima maana atakua amedhihirisha kua ana tatizo.

Ninyi mnaosema kwamba ofisi ya msajili wa vyama imekosea kuendelea kumtambua Prof Lipumba kama mwenyekiti wa CUF toeni uthibitisho iwapo CUF ilipeleka taarifa rasmi ya uongozi wa chama katika ofisi ya msajili wa vyama.

Ukweli ni kwamba pamoja na kwamba CUF walimteua Taslima kukaimu uenyekiti wa CUF kwa muda hakuna taarifa yoyote iliyopelekwa kwenye ofisi ya msajili wa vyama.

Analogically let us consider in this way:
Mnachama au umoja ambao una fedha za kutosha lakini ili muwe na usalama wa uhakika kuhusu fedha zenu mkaamua kufungua akaunti na kuteua wajumbe watano kuwa signatorie wa account hiyo. Baada ya mwaka mmoja wa signatories akajitoa kuwa mwanachama wa chama au umoja huo.

Benki itaendelea kumtambua yule mwanachama kuwa ni signatories wa chama/umoja hadi pale itakapopokea taarifa rasmi toka kwa chama.
 
Kwa jinsi ambavyo tumeona vyama washirika vya UKAWA kuamua kumbruza mahakamani msajili wa vyama vya siasa kwa kile kinachodaiwa kumbeba kimaamuzi aliyekua mwenyekiti wa CUF Prof Ibrahim Lipumba, hiki ni kitendo cha aibu sana kwa mtu wa hadhi ya msajili wa vyama vya siasa, hii hali itaifanya Ofisi yake kutokuaminiwa tena na wananchi.

Hii inawezekana kabisa hata kuna viashiria vya rushwa ndani yake. Kutokuaminiwa kwa Ofisi ya msajili kama mlezi wa vyama vya siasa tayari kunahisiwa kua msajili ana maslahi binafsi na baadhi ya maamuzi kitu ambacho kinampelekea kukosa sifa dhabiti za kukalia kiti hicho.

Tayari anachukuliwa kama mtu asiyeweza kutoa maamuzi kwa Misingi ya haki. Hivyo ikitokea akashindwa kesi inabidi ajiuzulu nafasi yake kwa lazima maana atakua amedhihirisha kua ana tatizo.
Toka lini jaji kupelekwa mahakamani
 
Siasa za matukio ni noma sasa tumehamia kwenye tukio la msajili wa vyama vya siasa haya ngoja tusubiri tukio jingine tena
 
Kujiuzulu ndani ya CUF ni Mchakato sio tukio. Inahusisha hatua zifuatazo;

1) kuandika barua ya kujiuzulu

2) kuikabidhi barua kwa Katibu Mkuu

3) Katibu kuitisha Baraza kuu

4) Baraza kuu kujadili

5) Baraza kuu kuamua kuridhia au kutoridhia barua ya kujiuzulu.

Hatua hizo Tano ndio zinakamilisha Mchakato wa kujiuzulu Mtatiro, Seif na Hata Wakili Maarufu Mzee Twaha Taslima anajua na ndio sababu ameamua kukaa Pembeni na kumuachia Mtatiro huo Mkwamo kwa kuwa anajua Wao walichemka na Prof katumia fursa hiyo.

Prof alikamilisha Mchakato wa kujiuzulu kwa hatua ya kwanza na ya pili lakini wao kwa kupitiwa wakapuuza.

Viongozi wa Vyama vya Siasa wasome Katiba za vyama vyao na wazielewe na kuzifuata badala ya kuongozwa na utashi.

Mkienda Mahakamani kupinga Uenykt wa Lipumba pia ni Mtego mwingine wa Kisiasa kwa kuwa hamjui hukumu itakuaje na ni lazima Muiheshimu na kabla ya hukumu hiyo itabidi Chairman Prof aendelee ku enjoy stahiki zote za KiUenykt.
Option pekee mliyonayo ni kuhamasishana na ku hamia Chadema kwa Wingi
 
Nchi hii tumeanza kupoteza heshima ya Uprofesa sa huyu naye analetea dharau ujaji.
Sasa kila kitu tulichokuwa tunaheshimu kinapoteza heshima. Hata PhD nazo tunaanza kuwa na mashaka nazo

Hata Ukamanda umepoteza hadhi kwa kushindwa kuandamana
 
Kwa jinsi ambavyo tumeona vyama washirika vya UKAWA kuamua kumbruza mahakamani msajili wa vyama vya siasa kwa kile kinachodaiwa kumbeba kimaamuzi aliyekua mwenyekiti wa CUF Prof Ibrahim Lipumba, hiki ni kitendo cha aibu sana kwa mtu wa hadhi ya msajili wa vyama vya siasa, hii hali itaifanya Ofisi yake kutokuaminiwa tena na wananchi.

Hii inawezekana kabisa hata kuna viashiria vya rushwa ndani yake. Kutokuaminiwa kwa Ofisi ya msajili kama mlezi wa vyama vya siasa tayari kunahisiwa kua msajili ana maslahi binafsi na baadhi ya maamuzi kitu ambacho kinampelekea kukosa sifa dhabiti za kukalia kiti hicho.

Tayari anachukuliwa kama mtu asiyeweza kutoa maamuzi kwa Misingi ya haki. Hivyo ikitokea akashindwa kesi inabidi ajiuzulu nafasi yake kwa lazima maana atakua amedhihirisha kua ana tatizo.
Unamburuza Jaji mahakamani unategemea nini. Hahahahahahahah. Mnafurahisha. Au mnadhani mwenzenu wa mtaani huyo. Amepata ujaji hata mawakili wwngine walikuwa hawajaziliwa. Unategemea nini
 
Kwa mtindo aloufanya Lipumba hadhi ya usomi kwa kiwango juu sasa inazidi kushuka....nimemkumbuka Mwalimu wangu mmoja alikuwa anatafsiri maana ya PhD kuwa ni People with head dameged na Profesa alisema ni totally confused.....hii yaweza kuwa kweli!!
 
Back
Top Bottom