Ibambasi
JF-Expert Member
- Jul 25, 2007
- 9,296
- 4,697
Mh, cause of action ipi,
Sijui hata kama wanakuelewa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mh, cause of action ipi,
Wacha kutoa Povu Mkuu.Endeleeni hivyo hvyo. 2020 sio mbali. Mtalizwa tena.
chadema wapo kutetea kila mtu kutoka kwenye mikono ya kibepari.Baada ya UKUTA kufeli sasa CHADEMA wanatafutia Kiki Kwenye mgogoro wa CUF
Kwa jinsi ambavyo tumeona vyama washirika vya UKAWA kuamua kumbruza mahakamani msajili wa vyama vya siasa kwa kile kinachodaiwa kumbeba kimaamuzi aliyekua mwenyekiti wa CUF Prof Ibrahim Lipumba, hiki ni kitendo cha aibu sana kwa mtu wa hadhi ya msajili wa vyama vya siasa, hii hali itaifanya Ofisi yake kutokuaminiwa tena na wananchi.
Hii inawezekana kabisa hata kuna viashiria vya rushwa ndani yake. Kutokuaminiwa kwa Ofisi ya msajili kama mlezi wa vyama vya siasa tayari kunahisiwa kua msajili ana maslahi binafsi na baadhi ya maamuzi kitu ambacho kinampelekea kukosa sifa dhabiti za kukalia kiti hicho.
Tayari anachukuliwa kama mtu asiyeweza kutoa maamuzi kwa Misingi ya haki. Hivyo ikitokea akashindwa kesi inabidi ajiuzulu nafasi yake kwa lazima maana atakua amedhihirisha kua ana tatizo.
Mutungi ameufanya ujaji uonekane ni jambo la mchezo-mchezo
Bwana yule??????????Mwanasheria wa CHADEMA Tundu Lissu (Mb), ameteuliwa na jopo la mawakili la UKAWA, kuongoza jopo la Mawakili kuwaburuza mahakamani Msajili wa Vyama vya Siasa na Prof. Ibrahimu Lipumba.Wameamua kutomuita jina lake na kumpachika jina la 'BWANA YULE'
Umetumwa?Mwanasheria wa CHADEMA Tundu Lissu (Mb), ameteuliwa na jopo la mawakili la UKAWA, kuongoza jopo la Mawakili kuwaburuza mahakamani Msajili wa Vyama vya Siasa na Prof. Ibrahimu Lipumba.Wameamua kutomuita jina lake na kumpachika jina la 'BWANA YULE'