Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Safi sana,najua lipumba atatetewa na wakili msaliti Dr.LamwaiMwanasheria wa CHADEMA Tundu Lissu (Mb), ameteuliwa na jopo la mawakili la UKAWA, kuongoza jopo la Mawakili kuwaburuza mahakamani Msajili wa Vyama vya Siasa na Prof. Ibrahimu Lipumba.Wameamua kutomuita jina lake na kumpachika jina la 'BWANA YULE'
Mbona mmeshindwa tu kuingia pale Buguruni baada ya kuwaona hao vijana kumi wa miraba minne. Sasa huko kwingine ndiyo mtaweza? Kaukuta kale mmeshindwa. Achaneni na mambo haya yasiyo na tija. Fanyeni kazi.safi ndo tutajua kama na mahakama NAyo imetiwa mfukoni ili tuanze kuadhibiana wenyewe kama haki itakosekana kwenye vyombo vyenye dhamana. asilalamike MTU tukiamua kuchukua sheria mkononi
Yaani hawa watu aibu sana, na yalivyo manafiki pengine unaweza kukuta linaabudu Christian ama Islamic, kama Christian utalikuta liko mbele kabisa karibu na madhabahu, kama ni Islamic utalikuta swala tano na bonge la kanzu kumbe nafiki la kutupwakosa lake nini wakati yeye kaleta tu taarifa humu? kwani kasema yeye ndiye atawashitaki hao wawili?
Naona kama chadema ndio inatawala CUF za maalimMwanasheria wa CHADEMA Tundu Lissu (Mb), ameteuliwa na jopo la mawakili la UKAWA, kuongoza jopo la Mawakili kuwaburuza mahakamani Msajili wa Vyama vya Siasa na Prof. Ibrahimu Lipumba.Wameamua kutomuita jina lake na kumpachika jina la 'BWANA YULE'
Ni njia mojawapoMwanasheria wa CHADEMA Tundu Lissu (Mb), ameteuliwa na jopo la mawakili la UKAWA, kuongoza jopo la Mawakili kuwaburuza mahakamani Msajili wa Vyama vya Siasa na Prof. Ibrahimu Lipumba.Wameamua kutomuita jina lake na kumpachika jina la 'BWANA YULE'
Kama unavyotaka ccm kutawala cufNaona kama chadema ndio inatawala CUF za maalim
bwana yule wamkatie huduma ya maji na umeme,atatoka tu kwenye shimo lake hapo buguruni,ikishindikana basi masela watafute viroba vitano vya nyuki,wale wadudu hatari,wawawekee pilipili kichaa ndani ya viroba,wavitikise hivyo viroba kama dakika tano hivi kuwatia nyuki hasira,halafu wakaviachie ndani ya jengo alilojificha prof,atatoka tu,na hao wenye silaha za jadi watazitupa bila tatizo,nyuki hawana mchezo bhana,na nyuki wakishakutambua hawakuachii,watakumbiza hata uende wapi,ukiingia kwenye maji,wao wanabaki juu wanazengea,ukitoa jicho uchungulie kama bado wapo(kama anavyopenda kufanya bwana yule)wanakudunga,unarudi majini,lazima uelewe somo tu hata kama umezaliwa tabora
Kama mgogoro ni wa CUF na mwenyekiti ni wa CUF....kwanini CDM wasiiache CUF ishughilikie migogoro yake yenyewe....ili ije kwenye meza ya UKAWA ikiwa kamili.....!!!
Kwanini CDM wamekuwa wasemaji wa CUF.....!!??
Kuna nini kinaendelea kwenye mgogoro wa CUF na CDM.....!!??
Katiba ya CUF uliyonayo wewe CCM na bwana yule tu. Katiba halisi ya CUF imemfukuza bwana yule uanachamaMbona mnapaparika?mara mwenye jengo anataka jengo lake,mara sefu kuingia ofisini na wabunge na mameya lakini siku zinaenda tu
Chadema Mtahangaika sana tu,wenzenu wanaegemea katiba ya cuf tu.Lipumba bado mwenyekiti
Namuona bwana yule akijiandaa kuoga..kama osama![]()
Lipumba akiendelea kua mwenyekiti wa CUF ni threat kwa UKAWA. Hakubaliani na Lowasa ndani ya UKAWA, anatetea maslahi ya CUF ndani ya UKAWA. Pia ukumbuke mpaka sasa UKAWA tayari wana mgombea uraisi 2020 ambaye Lipumba hakubaliani naye. CHADEMA lazima wapigane kufa na kupona Lipumba asiwe mwenyekiti kwa madai hayo anaweza akaiondoa CUF katika UKAWA