Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,242
- 34,903
Huyo atachomokaa humo soon kwa moshi wa sumu ngoja ifike toka south africabwana yule wamkatie huduma ya maji na umeme,atatoka tu kwenye shimo lake hapo buguruni,ikishindikana basi masela watafute viroba vitano vya nyuki,wale wadudu hatari,wawawekee pilipili kichaa ndani ya viroba,wavitikise hivyo viroba kama dakika tano hivi,halafu wakaviachie ndani ya jengo alilojificha prof,atatoka tu,na hao wenye silaha za jadi watazitupa bila tatizo,nyuki hawana mchezo bhana
mkuu,anatakiwa atoke tuuu,akajiunge na ACT wazalendoHuyo atachomokaa humo soon kwa moshi wa sumu ngoja ifike toka south africa
Hawa jamaa wanahangaika na migogoro ya wengine badala ya kukijenga chama kuelekea 2020.Baada ya UKUTA kufeli sasa CHADEMA wanatafutia Kiki Kwenye mgogoro wa CUF
Mbona mnapaparika?mara mwenye jengo anataka jengo lake,mara sefu kuingia ofisini na wabunge na mameya lakini siku zinaenda tuMwanasheria wa CHADEMA Tundu Lissu (Mb), ameteuliwa na jopo la mawakili la UKAWA, kuongoza jopo la Mawakili kuwaburuza mahakamani Msajili wa Vyama vya Siasa na Prof. Ibrahimu Lipumba.Wameamua kutomuita jina lake na kumpachika jina la 'BWANA YULE'