Msajili wa vyama vya siasa ni vema uifute CHADEMA kwa kuwa Chanzo cha Machafuko nchini

Wewe ni ZERO brain wa kiwango cha LAMI , ulipambania GESI isitoke umeshindwa ndiyo utaweza CHADEMA? kemea kina Mafwele ,bashite na J4 wasiue watu kwanza.
 
 
Hii nadhani itaazimiwa kwenye Bunge linaloanza tarehe 11/11/2025
 
Nikushauri tu uache kuvutia Bange chooni utaokota makopo muda si mrefu!!
 
Walioifikisha Tanzania hapa ilipo ni pamoja na ofisi ya Msajili,Mahakama,Bunge Kibogoyo kile chama kilichokufa zamani,ila kikaendelea kuelea kwa nguvu ya Dola.Hivyo kabla ya azima yao kikifuta chama Kinachoitetea Tanzania na watu wake,ifutwe kwanza ofisi ya Msajili na ile tume yenye muunganiko na ccm na nida.
 
Safari hii kinafutwa hakina faida
 
Machafuko na hizo damu zilizomwagika zina mkono wa chadema kwa kushirikiana na wanaharakati wao uchwara kama pole pole,gwajima,maria sarungi na mange kimavi.
Wewe sio MTU wa kusini hakuna MTU wa kusini ambaye anaweza kuwatetea CCM , kusini imeachwa nyuma Kwa kilakitu Hadi barabara ya lami hakuna alafu unakuja kujipendekeza?
Mbaazi inauzwa Tsh 400 Kwa kilo moja alafu unakuja kujipendekeza? Wewe sio mmakomde hakuna mmakonde mshamba wa kujipendekeza, wewe ni Fala Tu na bado utaelendela kuwa Fala .... mmakonde wa mchongo
 
Sio Chadema tu! Futa sheria ya vyama vingi... futa mfumo wa Urais.. weka mfumo wa "UFALME" mtawazeni mfalme wenu then mle Mema ya nchi kwa utulivu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…