Msajili wa vyama vya siasa ni vema uifute CHADEMA kwa kuwa Chanzo cha Machafuko nchini

Kuifuta chadema sio suluhisho. Mnatakiwa nyie na bibi yenu bi kirembwe mkae mjadili kwanini watanzania wamewakataa .

Na hii ni trela bado mkanda 2030 mtaua watanzania wote.
 
Kujenga mwendokasi siyo jambo jema,mbona wamechoma?..hawapewi mikopo vyuoni?..hayo mema yapi?
Hata ujengewe gorofa na mzazi wako na akupe mabilioni ya fedha na kisha akamuua mwanao hayo magorofa na mabilioni yatakua hayana maana. Watu wamekemea sana mambo ya utekaji lakini wanajibiwa kifo ni kifo. Nenda umpe pesa za aina yeyote mke wa mdude kisha umwambie amsahau mume wake uone majibu yake.
 
ICC haiwezi kutupangia nini cha kufanya,hata hivyo wakija lazima waangalie chanzo
Tatizo sio cha kufanya tatizo ni kuua na kuwapoteza watanzania wenzetu kuanzia kipindi cha mwendazake mpaka leo. Kheri ccm ifutwe ili tubaki salama kama nchi.
 
Friends and Our Enemies,

Kila mwenye akili na uelewa wa mambo anafahamu kuwa chanzo cha machafuko haya yaliyotokea ni uongozi wa chama cha demokrasia na maendeleo.

Chadema kupitia mwenyekiti wao Tundu Lisu na makamu wake John heche kwa nyakati tofauti fofauti walishawahi kunukuliwa wakisema nia yao ni kukinukisha ndani ya nchi hii ili matakwa yao ya katiba mpya na tume huru yaweze kufanyiwa kazi na mahasimu wao ccm.

Nanukuu kauli ya Lisu "Nyinyi wananchi kama mmejawa na uoga,kama hamtaki kuingia barabarani kupigania haki zenu,basi msilalamike,muache kulalamika,haki haipatikani kwa kuomba,haki inapatikana kwa kuidai kwa nguvu" ...mwisho wa kunukuu...

Kauli nyingine ya lisu..."kwa kuwa hawa jamaa wamegoma kukaa mezani,na wameonesha nia ya kutotaka majadiliano,dawa yake ni kukinukisha,tukikinukisha hapa.,watu wakaingia barabarani na kikawaka,hawa watakuja kukaa na kuelewa lugha yetu."..mwisho wa kunukuu...

Hayo na mengine mengi ni baadhi ya kauli ambazo chadema wamekuwa wanazitoa kuchochea fujo na umwagaji wa damu nchini.

Sasa kwa kuwa watu hawa siasa zimewashinda,msajili wa vyama vya siasa nchini usiwe na kigugumizi katika suala zima la kukifutia usajili chama hiki.

Kifute chama hiki kabla hakijazidi kulipeleka taifa letu kwenye machafuko kwa mgongo wa demokrasia.
Kafungue kesi mahakamani,wakili wa serikali Nassoro Katuga yupo
 
CHADEMA ndio walikuwa wanapiga watu risasi mitaani na majumbani kwao?
20251104_120304.jpg
 
Kila mwenye akili na uelewa wa mambo anafahamu kuwa chanzo cha machafuko haya yaliyotokea ni uongozi wa chama cha demokrasia na maendeleo.
Bi mashavu kasema wageni toka nchi jirani ndio waliofanya maandamano kisha wakapigwa hadi kufa..

Wewe unaleta usenge wa kusema viongozi wa chadema ndio waliosababisha ..

Kati yako na kahaba mkuu nani ni mkweli?
 
Chadema ifutwe tuh,hao ndiyo chanzo cha machafuko

Chanzo cha machafuko sio chadema, ila ni uelewa wa watu umeongezeka,

Miaka yetu sisi tulikuwa hatujui hata msafara wa Rais unamagari mangapi na ya aina gani

Ila miaka hii hata Rais akivaa kiatu kipya watu wanajua, wanajua na bei yake, na wanauliza dukani

So hata chadema wakifa wote, still vuguvugu litaendelea tena sana
 
Friends and Our Enemies,

Kila mwenye akili na uelewa wa mambo anafahamu kuwa chanzo cha machafuko haya yaliyotokea ni uongozi wa chama cha demokrasia na maendeleo.

Chadema kupitia mwenyekiti wao Tundu Lisu na makamu wake John heche kwa nyakati tofauti fofauti walishawahi kunukuliwa wakisema nia yao ni kukinukisha ndani ya nchi hii ili matakwa yao ya katiba mpya na tume huru yaweze kufanyiwa kazi na mahasimu wao ccm.

Nanukuu kauli ya Lisu "Nyinyi wananchi kama mmejawa na uoga,kama hamtaki kuingia barabarani kupigania haki zenu,basi msilalamike,muache kulalamika,haki haipatikani kwa kuomba,haki inapatikana kwa kuidai kwa nguvu" ...mwisho wa kunukuu...

Kauli nyingine ya lisu..."kwa kuwa hawa jamaa wamegoma kukaa mezani,na wameonesha nia ya kutotaka majadiliano,dawa yake ni kukinukisha,tukikinukisha hapa.,watu wakaingia barabarani na kikawaka,hawa watakuja kukaa na kuelewa lugha yetu."..mwisho wa kunukuu...

Hayo na mengine mengi ni baadhi ya kauli ambazo chadema wamekuwa wanazitoa kuchochea fujo na umwagaji wa damu nchini.

Sasa kwa kuwa watu hawa siasa zimewashinda,msajili wa vyama vya siasa nchini usiwe na kigugumizi katika suala zima la kukifutia usajili chama hiki.

Kifute chama hiki kabla hakijazidi kulipeleka taifa letu kwenye machafuko kwa mgongo wa demokrasia.
Wew unakiwango kidogo sana cha kufikiria🤔

Kwann unaona upande wa chadema tu?.vp aliyesema hakutokuwa na nywi wala nywinywi!

Kwanza aliye ratibu haya maandamano siyo chadema hata kidogo.chadema hii imefungiwa kila kitu viongozi wa chadema walikuwa hawaruhusiwi kutoka hata nje ya nchi.mfano mazishi ya hayati rail ondinga heche hakuweza kwenda alizuiliwa .

Nitakurudisha kwenywe No reforms no election hiyo ndio nahisi imekuchanganya lengo la chadema lilikuwa ni kutoa elimu kwa wananchi kuhusu muhimu wa katiba mpya hasa kwenye vipengele vinavyo husu uchaguzi.na moja ya njia ambazo zilikuwa zinatumiwa na chadema ilikuwa ni kukusanya sahihi za wananchi na kupeleka kwenye jumuia za kimataifa kuonesha kwamba tanzanzania Uchaguzi siyo huru wa hhakina hatakama maandamano yangetokea sababu ya chadema zipo nyia bora zaidi kutumia kudili na waandamanaji .kwa nchi yingine wakienda mbali sana wanatumia risasi za mpira.

Lakn chadema ilifunguliwa kesi na bodi ya wadhamini kuhusu mgawanyo wa mali za chama bara na visiwani. Na mahakama ilitoa amri chadema isitishe shughuli za kisiasa na Mwenyekiti lissu alikuwa tayari kakamatwa .

Ipi sababu useme chadema ifutwe?
Na kwann? Wananchi ambaye hana silaha yeyote umpige risasi ya moto😭😭 . Hiyo siyo njia bora ya kutatua changomoto wew unabidi umasikilize watu wanataka nn? Kwa sababu wew ndio umechukua jukumu la kuwaongoza .

Na pia uwezi futa taasisi kubwa yenye watu wengi kwasababu ya mtu mmoja .mfano makanisa ya ufufuo na uzima kosa la gwajima unafungia makanisa nchi nzima daah!

Usilete uzi kwa kwakurupuka kaa chini fikiria ndio uandike kitu.
 
Machafuko na hizo damu zilizomwagika zina mkono wa chadema kwa kushirikiana na wanaharakati wao uchwara kama pole pole,gwajima,maria sarungi na mange kimavi.
Ile wewe sijui bro ama mzee sijui unaongea kwa kutumia kichwa gan? Cha juu ama cha chini!!
Kwahiyo watu kukosoa ni kosa au kukemea utekaji na uuaji baada ya utekaji nao
 
Friends and Our Enemies,

Kila mwenye akili na uelewa wa mambo anafahamu kuwa chanzo cha machafuko haya yaliyotokea ni uongozi wa chama cha demokrasia na maendeleo.

Chadema kupitia mwenyekiti wao Tundu Lisu na makamu wake John heche kwa nyakati tofauti fofauti walishawahi kunukuliwa wakisema nia yao ni kukinukisha ndani ya nchi hii ili matakwa yao ya katiba mpya na tume huru yaweze kufanyiwa kazi na mahasimu wao ccm.

Nanukuu kauli ya Lisu "Nyinyi wananchi kama mmejawa na uoga,kama hamtaki kuingia barabarani kupigania haki zenu,basi msilalamike,muache kulalamika,haki haipatikani kwa kuomba,haki inapatikana kwa kuidai kwa nguvu" ...mwisho wa kunukuu...

Kauli nyingine ya lisu..."kwa kuwa hawa jamaa wamegoma kukaa mezani,na wameonesha nia ya kutotaka majadiliano,dawa yake ni kukinukisha,tukikinukisha hapa.,watu wakaingia barabarani na kikawaka,hawa watakuja kukaa na kuelewa lugha yetu."..mwisho wa kunukuu...

Hayo na mengine mengi ni baadhi ya kauli ambazo chadema wamekuwa wanazitoa kuchochea fujo na umwagaji wa damu nchini.

Sasa kwa kuwa watu hawa siasa zimewashinda,msajili wa vyama vya siasa nchini usiwe na kigugumizi katika suala zima la kukifutia usajili chama hiki.

Kifute chama hiki kabla hakijazidi kulipeleka taifa letu kwenye machafuko kwa mgongo wa demokrasia.
Aanze kwa kuifuta ofisi yake kwanza halafu,angalao italeta maana kwa hatua unayomshauri.
 
Im sorry to say this ila aliyeleta huu uzi ni mpumbavu na waliomtuma nao ni wapumbavu
 
Friends and Our Enemies,

Kila mwenye akili na uelewa wa mambo anafahamu kuwa chanzo cha machafuko haya yaliyotokea ni uongozi wa chama cha demokrasia na maendeleo.

Chadema kupitia mwenyekiti wao Tundu Lisu na makamu wake John heche kwa nyakati tofauti fofauti walishawahi kunukuliwa wakisema nia yao ni kukinukisha ndani ya nchi hii ili matakwa yao ya katiba mpya na tume huru yaweze kufanyiwa kazi na mahasimu wao ccm.

Nanukuu kauli ya Lisu "Nyinyi wananchi kama mmejawa na uoga,kama hamtaki kuingia barabarani kupigania haki zenu,basi msilalamike,muache kulalamika,haki haipatikani kwa kuomba,haki inapatikana kwa kuidai kwa nguvu" ...mwisho wa kunukuu...

Kauli nyingine ya lisu..."kwa kuwa hawa jamaa wamegoma kukaa mezani,na wameonesha nia ya kutotaka majadiliano,dawa yake ni kukinukisha,tukikinukisha hapa.,watu wakaingia barabarani na kikawaka,hawa watakuja kukaa na kuelewa lugha yetu."..mwisho wa kunukuu...

Hayo na mengine mengi ni baadhi ya kauli ambazo chadema wamekuwa wanazitoa kuchochea fujo na umwagaji wa damu nchini.

Sasa kwa kuwa watu hawa siasa zimewashinda,msajili wa vyama vya siasa nchini usiwe na kigugumizi katika suala zima la kukifutia usajili chama hiki.

Kifute chama hiki kabla hakijazidi kulipeleka taifa letu kwenye machafuko kwa mgongo wa demokrasia.

Ona hili shetani jingine lililohusika kuwaua Watanganyiko lilichoandika. Ulaaniwe muuaji wewe na kizazi chako chote.
 
Hata ujengewe gorofa na mzazi wako na akupe mabilioni ya fedha na kisha akamuua mwanao hayo magorofa na mabilioni yatakua hayana maana. Watu wamekemea sana mambo ya utekaji lakini wanajibiwa kifo ni kifo. Nenda umpe pesa za aina yeyote mke wa mdude kisha umwambie amsahau mume wake uone majibu yake.
Kwa nini mdude na si wewe?!
 
Back
Top Bottom