Msajili wa vyama vya siasa ni vema uifute CHADEMA kwa kuwa Chanzo cha Machafuko nchini

Msajili wa vyama vya siasa ni vema uifute CHADEMA kwa kuwa Chanzo cha Machafuko nchini

THE BIG SHOW

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2012
Posts
18,873
Reaction score
15,267
Friends and Our Enemies,

Kila mwenye akili na uelewa wa mambo anafahamu kuwa chanzo cha machafuko haya yaliyotokea ni uongozi wa chama cha demokrasia na maendeleo.

Chadema kupitia mwenyekiti wao Tundu Lisu na makamu wake John heche kwa nyakati tofauti fofauti walishawahi kunukuliwa wakisema nia yao ni kukinukisha ndani ya nchi hii ili matakwa yao ya katiba mpya na tume huru yaweze kufanyiwa kazi na mahasimu wao ccm.

Nanukuu kauli ya Lisu "Nyinyi wananchi kama mmejawa na uoga,kama hamtaki kuingia barabarani kupigania haki zenu,basi msilalamike,muache kulalamika,haki haipatikani kwa kuomba,haki inapatikana kwa kuidai kwa nguvu" ...mwisho wa kunukuu...

Kauli nyingine ya lisu..."kwa kuwa hawa jamaa wamegoma kukaa mezani,na wameonesha nia ya kutotaka majadiliano,dawa yake ni kukinukisha,tukikinukisha hapa.,watu wakaingia barabarani na kikawaka,hawa watakuja kukaa na kuelewa lugha yetu."..mwisho wa kunukuu...

Hayo na mengine mengi ni baadhi ya kauli ambazo chadema wamekuwa wanazitoa kuchochea fujo na umwagaji wa damu nchini.

Sasa kwa kuwa watu hawa siasa zimewashinda,msajili wa vyama vya siasa nchini usiwe na kigugumizi katika suala zima la kukifutia usajili chama hiki.

Kifute chama hiki kabla hakijazidi kulipeleka taifa letu kwenye machafuko kwa mgongo wa demokrasia.
 
Friends and Our Enemies,

Kila mwenye akili na uelewa wa mambo anafahamu kuwa chanzo cha machafuko haya yaliyotokea ni uongozi wa chama cha demokrasia na maendeleo.

Chadema kupitia mwenyekiti wao Tundu Lisu na makamu wake John heche kwa nyakati tofauti fofauti walishawahi kunukuliwa wakisema nia yao ni kukinukisha ndani ya nchi hii ili matakwa yao ya katiba mpya na tume huru yaweze kufanyiwa kazi na mahasimu wao ccm.

Nanukuu kauli ya Lisu "Nyinyi wananchi kama mjewa na uoga,kama hamtaki kuingia barabarani kupigania haki zenu,basi msilalamike,muache kulalamika,haki haipatikani kwa kuomba,haki inapatikana kwa kuidai kwa nguvu" ...mwisho wa kunukuu...

Kauli nyingine ya lisu..."kwa kuwa hawa jamaa wamegoma kukaa mezani,na wameonesha nia ya kutotaka majadiliano,dawa yake ni kukinukisha,tukikinukisha hapa.,watu wakaingia barabarani na kikawaka,hawa watakuja kukaa na kuelewa lugha yetu."..mwisho wa kunukuu...

Hayo na mengine mengi ni baadhi ya kauli ambazo chadema wamekuwa wanazitoa kuchochea fujo na umwagaji wa damu nchini.

Sasa kwa kuwa watu hawa siasa zimewashinda,msajili wa vyama vya siasa nchini usiwe na kigugumizi katika suala zima la kukifutia usajili chama hiki.

Kifute chama hiki kabla hakijazidi kulipeleka taifa letu kwenye machafuko kwa mgongo wa demokrasia.
Kama mtu Yuko gerezani Bado ana ushawishi mtaani huoni nyie mmeshataliwa na wananchi ??

Yaani viongozi wa chadema mmewafunga gerezani lakini wanawashinda ushawishi mnaamua kutumia jeshi

Kubalini mmekataliwa na watanzania
 
Dawa ni kukifuta hiki chama

Na ndiyo chanzo cha haya machafuko na uvunjifu wa amani
 
Machafuko na hizo damu zilizomwagika zina mkono wa chadema kwa kushirikiana na wanaharakati wao uchwara kama pole pole,gwajima,maria sarungi na mange kimavi.
 
Hatuwezi kukaa na chama kinachohubiri chuki na kuchochea umwagaji wa damu kisha tukakichekea,dawa ya chama hiko ni kukifuta tuh
Wewe ni mpumbavu

Hata mkifuta chadema mnafikiri ndo mtakubalika
Au kuondoa upinzani

Mbona mna akili za kizee namna hiyo kwenye Karne ya 21
 
Zaidi ya udini na hewa kichwani, ni mavi tuu tumboni yamekujaa 🤮🤮💩
Udini unawasumbua nyinyi ndiyo maana mnamchukia samia na kumfanyia kila aina ya zengwe,na kwa kuwa mmeonesha rangi yenu wazi wazi basi tunawaambia hamtashinda kwenye vita hii
 
Najua mpambavu haelimiki labda Kwa faida ya wengine

Hao wote Kuna ambaye alikutwa na silaha yoyote ?
Silaha ya maneno na uchochezi ni kubwa kuliko bunduki,hata mauaji ya kimbari uchochezi ulianzia makanisani,kwa wanasiasa na vyombo vya habari

Hatutaweza kuruhusu hilo
 
we jamaa bhana unaongelea kufutwa kwa chadema wakati arrest warrant icc iko jikoni soon ? duterte aliua watu hivyo hivyo kibabe na akajitoa icc, leo hii ananyea debe icc, dunia ikiwa against you huwezi shinda hata siku moja , ngoja tusubiri jinsi itakavyo kuwa kama mnafikiri mna hatimiliki ya kutawala wengine, muda utaongea ..
 
Kwa hiyo chadema ndo walichukua bunduki kuwapiga wananchi

Kubalini mmekataliwa na watanzania acheni kujishika Kwa chadema
Chadema ndiyo chanzo cha uchochezi wa hizo vurugu wakiwa na wanaharakati wenzao...dawa ya hiko chama ni kukifutilia mbali
 
Imagine, mtu ni mpumbavu afu anatoka mbele kuthibitisha kuwa ni mpumbavu
Mtajua hamjui kenge nyinyi,hiko chama lazima kifutwe...hatuwezi kuwa na chama cha kigaidi kama hiko nchini.
 
Back
Top Bottom