Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 8,048
- 15,651
Bi ushungi soon The Hague itamwita
Samahani inawezekana nashindana na mwehu .Chadema ndiyo chanzo cha uchochezi wa hizo vurugu wakiwa na wanaharakati wenzao...dawa ya hiko chama ni kukifutilia mbali
Mungu hadhihakiwi na atakulipa unachostahiliFriends and Our Enemies,
Kila mwenye akili na uelewa wa mambo anafahamu kuwa chanzo cha machafuko haya yaliyotokea ni uongozi wa chama cha demokrasia na maendeleo.
Chadema kupitia mwenyekiti wao Tundu Lisu na makamu wake John heche kwa nyakati tofauti fofauti walishawahi kunukuliwa wakisema nia yao ni kukinukisha ndani ya nchi hii ili matakwa yao ya katiba mpya na tume huru yaweze kufanyiwa kazi na mahasimu wao ccm.
Nanukuu kauli ya Lisu "Nyinyi wananchi kama mmejawa na uoga,kama hamtaki kuingia barabarani kupigania haki zenu,basi msilalamike,muache kulalamika,haki haipatikani kwa kuomba,haki inapatikana kwa kuidai kwa nguvu" ...mwisho wa kunukuu...
Kauli nyingine ya lisu..."kwa kuwa hawa jamaa wamegoma kukaa mezani,na wameonesha nia ya kutotaka majadiliano,dawa yake ni kukinukisha,tukikinukisha hapa.,watu wakaingia barabarani na kikawaka,hawa watakuja kukaa na kuelewa lugha yetu."..mwisho wa kunukuu...
Hayo na mengine mengi ni baadhi ya kauli ambazo chadema wamekuwa wanazitoa kuchochea fujo na umwagaji wa damu nchini.
Sasa kwa kuwa watu hawa siasa zimewashinda,msajili wa vyama vya siasa nchini usiwe na kigugumizi katika suala zima la kukifutia usajili chama hiki.
Kifute chama hiki kabla hakijazidi kulipeleka taifa letu kwenye machafuko kwa mgongo wa demokrasia.
Hicho chama kifutweFriends and Our Enemies,

Friends and Our Enemies,

Chama gani mzeee CDM imezuiliwa japo kufanya kikao cha ndani hata kimoja acha mikutano ya hadhara kwa siku zaidi ya 90 mpaka sasa wanashawishi vipi watu?.Hatuwezi kukaa na chama kinachohubiri chuki na kuchochea umwagaji wa damu kisha tukakichekea,dawa ya chama hiko ni kukifuta tuh
Ana ushawishi labda kwa wajela jela wenzake tuh mwehu yule.Kama mtu Yuko gerezani Bado ana ushawishi mtaani huoni nyie mmeshataliwa na wananchi ??
Yaani viongozi wa chadema mmewafunga gerezani lakini wanawashinda ushawishi mnaamua kutumia jeshi
Kubalini mmekataliwa na watanzania
Msije kujikuta mnatengeza Tanganyikans patriotic fronts look swala hapa ni Dialogue sio provocation.Hicho chama kifutwe
MKono wa serikali ni mrefu,wameshabainika na wasubirie tuh kufutwa kwa hiko chamaChama gani mzeee CDM imezuiliwa japo kufanya kikao cha ndani hata kimoja acha mikutano ya hadhara kwa siku zaidi ya 90 mpaka sasa wanashawishi vipi watu?.
No,kifutwe hicho chama, halafu tuone hiyo tanganyika patriotic front..chama kazi kuchafua nchi,kushirikiana na nchi jirani kuvuruga nchiMsije kujikuta mnatengeza Tanganyikans patriotic fronts look swala hapa ni Dialogue sio provocation.
Watu wa dini gani unawazungumzia,vichaa kama gwajima au wale wafia dini za chuki dhidi ya samia?Chanzo ni wizi wa kura na ujinga wenu na mpaka watu wa dini waliwaambia. Mkiwafuta Chadema ndiyo wataenda kujiunga nao kisawa sawa! na mnatakiwa kufikiria kesi yenu ambayo wanaiandaa huko Holland. Mtakuwa mnajiongezea matatizo bure. Mjue tu Tanzania sio ile tena.
Lissu yupo mahakaman kwa maneno uliyoyaandika na hata kesi inaonyesha atashinda. Njoon na mpango mkakati ccm wakuweka watu wenye akili kwenye maamuzi mtarudisha imani ya wananchi.MKono wa serikali ni mrefu,wameshabainika na wasubirie tuh kufutwa kwa hiko chama
Alisema tukinukishe pasikalike,na kweli kikanuka hapakukalika,sasa akae huko ndani milele,kesi ipelekwe JuneLissu yupo mahakaman kwa maneno uliyoyaandika na hata kesi inaonyesha atashinda. Njoon na mpango mkakati ccm wakuweka watu wenye akili kwenye maamuzi mtarudisha imani ya wananchi.
Na mlipohamasisha wale watoto waingie road kufanya vurugu vipi,unadhani hilo litaachwa lipite hivi hivi.?Kwani vita si mliachiwa wenyewe nani alikuwa anashindana na nyie
Upumbavu ukizidi unakua taahira
Vyovyote vile ongeeni,ila hiko chama chenu lazima kifutwe ili tuone jeuri yenu mnaitolea wapi wahuni wahamasisha fujo na vuruguSasa si wanahamia tu chama kingine au kuasis kingine!
NB:Uzuri hao jamaa hawakuangalia hata sijda hadi masheikh wamekula chuma.
Nasikia Sharif Majini naye kapitiwa