Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
msajili amedai wote watakao kiuka kuvunja vikundi binafsi vya ulinzi vya vyama hivo atavifuta. amedai km katiba zao zinatambua jambo hilo walifanyie mabadiliko haraka. tamko hill limetolewa kwaushirikiano wa igp Mangu kwa niaba ya jeshi la polisi na ofisi ya msajili.
my take
niwazi kwa ubishi wa chadema bila shaka kitafutwa katika medani za siasa
chanzo.RFA magazeti
msajili amedai wote watakao kiuka kuvunja vikundi binafsi vya ulinzi vya vyama hivo atavifuta. amedai km katiba zao zinatambua jambo hilo walifanyie mabadiliko haraka. tamko hill limetolewa kwaushirikiano wa igp Mangu kwa niaba ya jeshi la polisi na ofisi ya msajili.
my take
niwazi kwa ubishi wa chadema bila shaka kitafutwa katika medani za siasa
chanzo.RFA magazeti
Huyu Mangu ndiyo alilopoka kuwa atavifuta.Mkuu huu ni uongo usiokua na maana!Hizo habari si za kweli ni kujaribu kupotosha kauli sahihi aliyoitamka msajili.Fuatili kwa makini na uisome habari hiyo uone jinsi ambavyo vyombo vyetu vya habari vinatumika, Waandishi wamekua makanjanja kuhangaikia matumbo yao tu.Jana siku ya Alhamisi nilisikiliza mwenyewe kwa masikio yangu kauli aliyoitoa msajili kupitia redio ya VOA alichokisema,Alichokisema ni kwamba ni halali kikatiba kua na vikundi vya ulinzi katika vyama lakini visiwe na mwelekeo wa kuunda jeshi,akamalizia na kusema kua vyama vyenyewe vikae na kupitia katiba za vyama vyao na visivuke mipaka ya kikatiba.Sikusikia popote akisema kua atavifuta vyama tusipende kukuza mambo kumsingizia msajili.
Kitengo kingine cha Maintarahamwe AKA MACCM kikitumika vizuri kuelekea kwenye kura ya maoni na uchaguzi Mkuu. Kati ya CHADEMA na Mainterahamwe sijui ni yupi alianza kuwa na vikundi binafsi vya ulinzi.
Msajili ni Jaji anajua kauli ya kutamka. Magazeti yanacheza na akili za watu...Mkuu huu ni uongo usiokua na maana!Hizo habari si za kweli ni kujaribu kupotosha kauli sahihi aliyoitamka msajili.Fuatili kwa makini na uisome habari hiyo uone jinsi ambavyo vyombo vyetu vya habari vinatumika, Waandishi wamekua makanjanja kuhangaikia matumbo yao tu.Jana siku ya Alhamisi nilisikiliza mwenyewe kwa masikio yangu kauli aliyoitoa msajili kupitia redio ya VOA alichokisema,Alichokisema ni kwamba ni halali kikatiba kua na vikundi vya ulinzi katika vyama lakini visiwe na mwelekeo wa kuunda jeshi,akamalizia na kusema kua vyama vyenyewe vikae na kupitia katiba za vyama vyao na visivuke mipaka ya kikatiba.Sikusikia popote akisema kua atavifuta vyama tusipende kukuza mambo kumsingizia msajili.
Mkuu huu ni uongo usiokua na maana!Hizo habari si za kweli ni kujaribu kupotosha kauli sahihi aliyoitamka msajili.Fuatili kwa makini na uisome habari hiyo uone jinsi ambavyo vyombo vyetu vya habari vinatumika, Waandishi wamekua makanjanja kuhangaikia matumbo yao tu.Jana siku ya Alhamisi nilisikiliza mwenyewe kwa masikio yangu kauli aliyoitoa msajili kupitia redio ya VOA alichokisema,Alichokisema ni kwamba ni halali kikatiba kua na vikundi vya ulinzi katika vyama lakini visiwe na mwelekeo wa kuunda jeshi,akamalizia na kusema kua vyama vyenyewe vikae na kupitia katiba za vyama vyao na visivuke mipaka ya kikatiba.Sikusikia popote akisema kua atavifuta vyama tusipende kukuza mambo kumsingizia msajili.
Hayo ndio maajabu ya msajiri. Katiba zote anazipitisha yeye sasa anauliza nini? This means anajua kwamba katiba zao zina accomodate kitu hicho ndio maana anasema wafanye marekebisho.
Hivi yeye kama msajiri si anajua process za kurekebisha katiba? Anataka warekebishe kisirisiri? Je atawapa gharama za kuitisha vikao vya kurekebisha katiba?
Kama katiba zao zina accomodate kitu ambacho kina kwenda kimyume na katiba ya nchi na yeye ndiye alizipitisha nani wa kuwajibika zaidi yake?