Msajili wa Vyama vya Siasa: Nitavifuta CHADEMA na CUF

Kauli zingine viongozi wetu huwa wanazitoa kurubuni watu wasio na uelewa wa kisheria.
 

Ha ha ha ha uchaguzi umekaribia ngonjera za msajiri nazo zimeanza kusikika.

Lengo lote ni kujaribu kuirudishia uzima CCM ambayo iko taabani kama mgonjwa aliye chomwa nusu kaputi.
 
Hawa wamekula viazi vikavu et waifute CHADEMA! Hahaaaa maccm majinga kweli!
 

Huyu Msajili anaota Mchana pamoja na IGP
 
Huyu Mangu ndiyo alilopoka kuwa atavifuta.
 
Tatizo ni ccm kukosa vijana wenye nguvu na ari kiasi kwamba interahamwe wamezidiwa bali sana na red brigade. Ccm inaona kama red brigade intaendelea kuwepo, hawatathubutu kuchakachua kura ama kutishia, kuteka ama kunyanyasa wafuasi wa CHADEMA kwenye uchaguzi na baada ya uchaguzi.

Ninaushauri wangu nitam pm. Tumaini Makene awashauri viongozi, bado inakula kwa ccm na matawi yake.





Kitengo kingine cha Maintarahamwe AKA MACCM kikitumika vizuri kuelekea kwenye kura ya maoni na uchaguzi Mkuu. Kati ya CHADEMA na Mainterahamwe sijui ni yupi alianza kuwa na vikundi binafsi vya ulinzi.
 
Reactions: BAK
Huyu MTU huenda anaugua. Vinginevyo anaota ndoto za alasili kala maharage Yake yanamsumbua. Hajui nchi sasa imeshamwagiwa petrol inasubili Mpita Njia na kibiriti chake.
 
Reactions: 999
Hiki chama kinachotumia watoto kushika bunduki hakifai kufutwa?
 

Attachments

  • 1429851763614.jpg
    47.3 KB · Views: 214
Mutungi waambie kijani waongeze kipengele cha hawa wahuni kwenye katiba yao
 

Attachments

  • 1429852254697.jpg
    11.1 KB · Views: 305
aanze ccm kuvunja ndipo chadema atavunja
:rockon::rockon::rockon::rockon::rockon::rockon:
 
Msajili ni Jaji anajua kauli ya kutamka. Magazeti yanacheza na akili za watu...
 

Mkuu siku zote huyu Ashasidiria ni mzushi na mnaa tu. Threads zote anazoanzisha ni uzushi na unaa tu.
 
Msajili kasema vyama vya siasa, ccm.ikiwa ndani yake, saaaafi msajili hivi ni Kutengeneza vijikundi vya ugaidi, futilia mbali
 
Sababu huwa wanatumika kulinda kura wamekuta watashindwa kuiba!mnatapatapa tu.
 
Huyo Mutungi arejee kauli za waliomtangulia kwenye hiyo nafasi kama Tendwa. Tatizo kubwa la watu kama akina Mutungi ni kuwa hizo nafasi wanapewa kama fadhila kwa ajili ya kutumikia na kulinda masilahi ya wale waliowateua. Ingekuwa hizo nafasi zinashindaniwa kwa kuangalia sifa, uwezo na weledi wa mtu kamwe tusingekuwa tunasikia kauli za kijinga na zilizokosa mashiko kutoka kwao kama tunavyoshuhudia sasa.

Kama ni kutenda kwa weledi angeanza na CCM wanaoendesha GREEN GUARD ambayo hata kwenye KATIBA YA CHAMA HICHO haijatajwa hivyo kuendeshwa kinyume cha sharia na utaratibu uliotumiwa kuanzisha chama hicho.
 

Plus, vipi kuhusu green guard ambao hata katiba ya ccm haitambui uwepo wao? Kwa nini isifutwe kwanza maana haipo kikatiba, kabla ya kutaka katiba za vyama vingine zifanyiwe marekebisho?
 
Msajili naye anazingua, ngoja Lissu ampe za uso atanywea Jaka Jaka la Kibisa
 
Dar es Salaam. Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi amevitaka vyama kurekebisha katiba zao kwenye kipengele kinachoruhusu kuanzishwa kwa vikosi vya ulinzi na usalama.

Vyama vyenye vikosi cha ulinzi na usalama ni Chadema chenye Red Brigade, CCM (Green Guard), CUF (Blue Guard) na sasa ACT-Wazalendo (ACT Amani).

Mutungi alisema uanzishwaji wa vikundi hivyo unakwenda kinyume na Katiba ya nchi inayolipa jeshi la polisi mamlaka ya kulinda usalama wa raia na mali zao.

Akizungumza baada ya mkutano wake na vyama hivyo jana, Jaji Mutungi alisema katiba za vyama vingi vilivyosajiliwa kabla hajaingia ofisini vilikuwa na kifungu kinachoruhusu kuanzishwa kwa vikosi vya ulinzi na usalama wa mali za chama au viongozi wao wawapo katika mikutano.

“Haturuhusu kifungu hicho kuwapo kwenye katiba za vyama vinavyosajiliwa sasa (hakugusia ACT - Wazalendo). Hatuvifundishi vyama vya siasa namna ya kuandaa katiba zao lakini tunasimamia kifungu hiki kwa vile kinapingana na sheria.”

Jaji Mutungi alisisitiza kuwa vyama vya siasa nchini havina uelewa wa sheria ya vyama vya siasa ambayo ndiyo inayovisimamia, ndiyo maana vinashindwa kuendesha shughuli zao kwa mujibu wa sheria hiyo




Chanzo: Gazeti la Mwananchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…