Msaki anayemiliki mjengo wa Kibo Complex anaweza akawa kwenye top 10 ya matajiri weusi Tanzania

Msaki anayemiliki mjengo wa Kibo Complex anaweza akawa kwenye top 10 ya matajiri weusi Tanzania

AlphaMale

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2019
Posts
613
Reaction score
1,416
Ule mjengo wa Kibo Complex dooh si mchezo, shule ya Wazo Hill, wakala wa cement etc nahisi jamaa biashara zake zinaingiza hata bilioni 1 kwa mwezi hata kama kajenga kwa kuchukua mkopo benki, jamaa ana mafanikio sana.

Halafu nasikia alipataga Div. 0 Form Six, maisha haya.
 
Sasa Zero hapa Inahusiana na nn mzee...fanya kazi kwa Bidii...Kwenye Top 10 sijui mana sisi watz hatupendi Manufacturing ambayo ndio inatoa mzunguko mkubwa zaidi ...Watz wajifunze kujenga Viwanda.

Tukiwa na Viwanda mzunguko utakua mkubwa zaidi..kwasasa tunafanya biashara ya kununua na kuuza zaidi (Trading).

lakin hatujaamka tujenge viwanda vingi tutengeneze bidhaa nzuri
 
Na ww ukakope ukajenge mawenzi complex sasa uone cha mtema kuni ....

Unataka kuiga kunya kwa TEMBO utapasuka MSAMBA mdogo wetu. usione tu mafanikio ya watu na unataman taman tu easy easy. Tulia kama unasoma piga shule.
 
Back
Top Bottom