JUAN MANUEL
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 7,808
- 16,972
Safi sana Mangi,shemeji zangu huwa hawafanyi makosa kabisa,kimbizeni mpaka nchi iwatambueUle mjengo wa Kibo Complex dooh si mchezo, shule ya Wazo Hill, wakala wa cement etc nahisi jamaa biashara zake zinaingiza hata bilioni 1 kwa mwezi hata kama kajenga kwa kuchukua mkopo benki, jamaa ana mafanikio sana.
Halafu nasikia alipataga Div. 0 Form Six, maisha haya.