Msaki anayemiliki mjengo wa Kibo Complex anaweza akawa kwenye top 10 ya matajiri weusi Tanzania

Ule mjengo wa Kibo Complex dooh si mchezo, shule ya Wazo Hill, wakala wa cement etc nahisi jamaa biashara zake zinaingiza hata bilioni 1 kwa mwezi hata kama kajenga kwa kuchukua mkopo benki, jamaa ana mafanikio sana.

Halafu nasikia alipataga Div. 0 Form Six, maisha haya.
KWA UZOEFU WANGU WEWE UTAKUA WA KULEKULE, MNA VIJI TABIA VYA KUSIFIA WATU AS IF UTAJIRI WAKE UNAKUSAIDIA KITU, KISA TU NI MCHAGA MWENZIO
 
Uzi chokonozi!....haya wenye infos zake karibuni!
Huyo ni msimamizi tu wa miradi hiyo kwani mwenye nayo katulia tuli anacheck bank balance muda wote akichungulia zilizoingizwa! Tajiri yake ni mwanamke aliyewahi kuwa first lady wa bongo!
 
hahahahaa

Wewe ndio una wivu...

Kwasababu mimi sijafikia net worth ya Msaki eti sina haki ya kutoa makosa?

Makosa yapo tu,na mtu yeyote duniani ana wasjibu wa kukuambia no matter how the person is!

Brick and motor era is gone,deal with it!

Business changes,the leaders now are technologies and innovation na haichagui sekta,Msaki yupo sekta yake hafanyi innovation yeyote,ANATESEKA!

Thats it!
wewe unaecheza kamari ya forex hauteseki?
 
Ule mjengo wa Kibo Complex dooh si mchezo, shule ya Wazo Hill, wakala wa cement etc nahisi jamaa biashara zake zinaingiza hata bilioni 1 kwa mwezi hata kama kajenga kwa kuchukua mkopo benki, jamaa ana mafanikio sana.

Halafu nasikia alipataga Div. 0 Form Six, maisha haya.
Mama wa LUPASO ndio kila kitu hapo. Tanzania ina mambo mengi usiyoyajua.
 
Huu nao ni upuuzi mpya, unataka ushahidi gani?
Wa makabidhiano au Mama Mkapa akisimamia au nini unataka.
Umeona wapi dalali wa mchanga awe bilionea overnight?
Msaki namfahamu personally na kuhusu jengo hilo mama Anna huja mara kwa mara, kuna wakati uongozi wa pale ulikuwa mbovu, Msaki alikua anajinufaisha yeye tu hadi Anna Mkapa chupuchupu amfukuze.
Kila jengo kubwa dar mali ya mama mkapa,hizo story kawape watoto
 
Uzi umeletwa hapa,na najibia hapahapa!

Wewe unataka dunia hii mambo mazuri tu ndio yawekwe wazi ila mambo ya kukosoa yasiwekwe wazi?

Unaona lidikteta hili?

Wewe unataka kila linalokufurahisha tu ndio liwe wazi ila yale ya kukosoa inatakiwa tuongee "chini ya kapeti"!

Haya mambo kafanyie chooni madikteta nyie!

Mazuri na makosoaji yote yapo hapa hapa!

Siri za chini ya kapeti kaongee nae chooni huko!

Weak people,maoga kama makunguru,kama unajiamini huogopi makosoaji,you weak ass motherfvckers....

Y'all so weak minded Fvckers!

We cant help ya with your weak minds!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] naona una hasira sana na uchungu mkubwa na matusi mengi. ngoja nikuache dogo. ila ushauri wa bure mtafute msaki. [emoji23]
 
Acha uongo. Ni mikopo mkubwa CRDB na ninahisi Karibu anatua mzigo. Msaki ametoka kwenye familia ya business background msingi kutoka kwa Marehemu baba yao. Lingine kama in all uliza au sema.
Umemaliza mkuu,watu wanaongea kma mazuzu,msaky ndio waasisi wa kukoboa sembe na kufunga kwenye mifuko na kusambaza madukani dar
 
Sure mkuu wakiwa na mashine yao huko Mwananyamala na Kawe. Wakafanya biashara ya unga sembe wakawa na tenda kubwa mno mataasisi makubwa. Walikuwa wanasafirisha mahindi wenyewe toka mikoani. Ndiyo biashara yao kubwa ya mwanzo aliyokuwa anafanya marehemu baba yao na akamfunza kwanza kaka yake na yeye alupomaliza F6 akaingia jumla akiwa anajengewa uwezo na baba yake. Bahati mbaya baba yao akapata ajali akiwa anatokea kuleta mzigo wa mahindi akapata shida iliyopelekea kifo chake baada muda mfupi wa ike ajali. Kwa kuwaalijenga uwezo wa Watoto waliendeleza biashara. Feza ikawa kubwa na ndiyo akapata uwakala mkubwa wa cement Twiga Portland Cement akisambaza cement kwa mawakala wadogo na maduka makubwa nchi nzima. Akaamua kufanya value addition kwenye cement na ndipo alipoanzisha biashara ya Vibrated Blocks na pavings Tegeta kituo cha mwanzo kabla ya kusambaa Tegeta yote. Masemi kibao ya kusambaza cement nchi nzima. Akifika huko anapakia mahindi wanarudi mjini . Akaingia shule Wazo then Kibo Complex ikiwa ni nguvu yake na mikopo CRDB na kwa makubaliano pia bank kuwa na tawi pale ikiwa ni sehemu ya kulipa sehemu ya mikopo kupitia kodi ya jengo ambayo bank ingelipa.
Hiyo ni kifupi tu sana. Hivyo wapayukaji wake kimya tu Mkuu maana wanafanya mambo ya kudhani. Hapo nimewatafunia kidogo tu.

Hao ni mtu na Brothers wako 3 very strong kila mmoja na biashara zake. Wawili ndiyo waliotangulia then wakamjenga mdogo wao. Kifupi ni silent Billionaires hutakaa uwasikie kwa show off za mjini.
 
Acha wenye roho za kimaskini wasema za mama mkapa,nawajua wote kuanzia mwenye double view hotel,yule mdogo mwenye malori ya mchanga na huyo wa kibo
 
Back
Top Bottom