Zogwale
JF-Expert Member
- Jul 10, 2008
- 15,295
- 10,928
Kabisa Mkuu. Mimi ninawafahamu mno. Ni kati ya vijana waliopambana kihalali nchi hii. Wana uwezo wa kujenga malls kibao tu mbona? Tena kubwa kuliko Kibo Complex.Acha wenye roho za kimaskini wasema za mama mkapa,nawajua wote kuanzia mwenye double view hotel,yule mdogo mwenye malori ya mchanga na huyo wa kibo