Msaki anayemiliki mjengo wa Kibo Complex anaweza akawa kwenye top 10 ya matajiri weusi Tanzania

Msaki anayemiliki mjengo wa Kibo Complex anaweza akawa kwenye top 10 ya matajiri weusi Tanzania

Acha wenye roho za kimaskini wasema za mama mkapa,nawajua wote kuanzia mwenye double view hotel,yule mdogo mwenye malori ya mchanga na huyo wa kibo
Kabisa Mkuu. Mimi ninawafahamu mno. Ni kati ya vijana waliopambana kihalali nchi hii. Wana uwezo wa kujenga malls kibao tu mbona? Tena kubwa kuliko Kibo Complex.
 
Alikutapeli nini? Mbona sijawah hata sikia kesi yake hata ya kusingizia? Ninachojua ni smart kwenye kazi na ukiharibu kazi yake hata buti utapigwa. Sema lingine.
rikodi zake za kulipa kodi tra haziridhishi
 
msaki ni jambazi
Leta uthibitisho na kesi za ujambazi alizoshtakiwa. Wivu tu. Uzuri mvua yako inanyesha nje Msaki amelala ndani haimnyeshei. Muda huu anapokea manoti kwenye biashara huku wewe ukizusha ya kijicho. They family fights man. Next
 
Ule mjengo wa Kibo Complex dooh si mchezo, shule ya Wazo Hill, wakala wa cement etc nahisi jamaa biashara zake zinaingiza hata bilioni 1 kwa mwezi hata kama kajenga kwa kuchukua mkopo benki, jamaa ana mafanikio sana.

Halafu nasikia alipataga Div. 0 Form Six, maisha haya.
Jengo liko wapi weka picha tulithaminishe
 
Kama wa jengo la kibo unawaita mabilionaire je awa wa jengo la mawasiliano utawaitaje?
images%20(45).jpeg
 
Nashangaa wanaomsema MAKONDA, hata kama alifeli shule, ila maisha yamemnyookea, hta MBOWE kupata kwake zero form six lakini kwenye maisha katoboa
Mbowe anaongea kiingereza kitamu kumzidi mzee wa phd feki. Unabisha unabisha?
 
Kibo Complex, Kibo Palace zote za Mama Anna Mkapa sharing with Mramba

Huyo Msacky amewekwa tu kuzuga zuga
 
Back
Top Bottom