KWA UZOEFU WANGU WEWE UTAKUA WA KULEKULE, MNA VIJI TABIA VYA KUSIFIA WATU AS IF UTAJIRI WAKE UNAKUSAIDIA KITU, KISA TU NI MCHAGA MWENZIOUle mjengo wa Kibo Complex dooh si mchezo, shule ya Wazo Hill, wakala wa cement etc nahisi jamaa biashara zake zinaingiza hata bilioni 1 kwa mwezi hata kama kajenga kwa kuchukua mkopo benki, jamaa ana mafanikio sana.
Halafu nasikia alipataga Div. 0 Form Six, maisha haya.