Msaki anayemiliki mjengo wa Kibo Complex anaweza akawa kwenye top 10 ya matajiri weusi Tanzania

Msaki anayemiliki mjengo wa Kibo Complex anaweza akawa kwenye top 10 ya matajiri weusi Tanzania

Ule mjengo wa Kibo complex dooh si mchezo, shule ya wazo hill, wakala wa cement etc nahic jamaa biashara zake zinaingiza hata billion 1 kwa mwezi..hata kama kajenga kwa kuchukua mkopo benki, jamaa ana mafanikio sana.

Hlf nasikia alipataga div. 0 form six, maisha haya..
Je laizer unamuweka wapi?
 
Leteni ushahidi
Nyie si ndio mlkuwa mnasema jengo la tanesco ubungo la Lowasa?
Huu nao ni upuuzi mpya, unataka ushahidi gani?
Wa makabidhiano au Mama Mkapa akisimamia au nini unataka.
Umeona wapi dalali wa mchanga awe bilionea overnight?
Msaki namfahamu personally na kuhusu jengo hilo mama Anna huja mara kwa mara, kuna wakati uongozi wa pale ulikuwa mbovu, Msaki alikua anajinufaisha yeye tu hadi Anna Mkapa chupuchupu amfukuze.
 
Huu nao ni upuuzi mpya, unataka udhahidi gani?
Wa msksbidhiano su Mama Mkapa akisimamia au nini unataka.
Umeona wapi dalali wa mchanga awe bilionea overnight?
Msaki namfahamu personally na kuhusu jengo hilo mama Anna huja mara kwa mara, kuna wakati uongozi wa pale ulikuwa mbovu, Msaki alikua anajinufaisha yeye tu hadi Anna Mkapa chupuchupu smfukuze.
Huo ndio ukweli.
Huwezi kudunduliza faida za kuuza cement halafu ujenge jengo kama lile hyo ni impossible future tense.
 
Huu nao ni upuuzi mpya, unataka udhahidi gani?
Wa msksbidhiano su Mama Mkapa akisimamia au nini unataka.
Umeona wapi dalali wa mchanga awe bilionea overnight?
Msaki namfahamu personally na kuhusu jengo hilo mama Anna huja mara kwa mara, kuna wakati uongozi wa pale ulikuwa mbovu, Msaki alikua anajinufaisha yeye tu hadi Anna Mkapa chupuchupu smfukuze.
Kwani dalali hawezi akawa tajiri? Kwani lugumi alitajirika vipi?

Japo sipingi unavosema ni mali ya mama mkapa
 
watanzania wazuri sana kuchambua maisha ya watu, ukifanya kitu fulani hakina faida, ukifanya kitu fulani kina faida, impossible kufanya kitu fulani upate hela, maneno mengi, ila angalia maisha ya anayezungumza unaweza kumuonea huruma. ropoka basi kama kwenye akaunti yako kuna digits kama saba au nane hivi
 
Mkuu msaki anahela acha wivu ana semi trellar za kutosha gari za mchanga za kutosha hotel ya double view kijitonyama tutafute hela kwa bidii.
Acha ushabiki wa ajabu wanaomiliki malori ni wengi sana huwa hayashangazi wala sio big deal.
Hela za malori bado hayawezi kukufanya ujenge jengo kama lile.
Unavyomshabikia sana nahisi atakuwa ni shemeji yako.
 
hii ni aina nyingine ya wivu tuu
hahahahaa

Wewe ndio una wivu...

Kwasababu mimi sijafikia net worth ya Msaki eti sina haki ya kutoa makosa?

Makosa yapo tu,na mtu yeyote duniani ana wasjibu wa kukuambia no matter how the person is!

Brick and motor era is gone,deal with it!

Business changes,the leaders now are technologies and innovation na haichagui sekta,Msaki yupo sekta yake hafanyi innovation yeyote,ANATESEKA!

Thats it!
 
Mkuu msaki anahela acha wivu ana semi trellar za kutosha gari za mchanga za kutosha hotel ya double view kijitonyama tutafute hela kwa bidii.
Mkuu kumbe hujatujua watanzania sisi, mimi naweza kuwa na elfu 50 tu kwenye akaunti, na sijui nitaiongezaje au kuipata wapi nyingine lakini nikamwambia mtu mwenye milioni 100 kwenye akaunti ambaye ana means zaidi ya kumi kuziongeza hizo hela kua hana faida kwa anachofanya au ni ngumu kwake kufanikiwa.
 
Back
Top Bottom