Tajiri wa Magomeni
JF-Expert Member
- Aug 21, 2019
- 4,274
- 2,935
Mbowe ana zero form six?Nashangaa wanaomsema MAKONDA, hata kama alifeli shule, ila maisha yamemnyookea, hta MBOWE kupata kwake zero form six lakini kwenye maisha katoboa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbowe ana zero form six?Nashangaa wanaomsema MAKONDA, hata kama alifeli shule, ila maisha yamemnyookea, hta MBOWE kupata kwake zero form six lakini kwenye maisha katoboa
Kwahiyo wewe unaniambia sababu sijafika networth ya Msaki basi sina haki ya kusema kosa lolote alilonalo?unamnanga ..wewe una nini ?
Mkuu wewe unafanya biashara gani ambayo inakupatia pesa nyingi kila uchwaohahahahaa
Wewe ndio una wivu...
Kwasababu mimi sijafikia net worth ya Msaki eti sina haki ya kutoa makosa?
Makosa yapo tu,na mtu yeyote duniani ana wasjibu wa kukuambia no matter how the person is!
Brick and motor era is gone,deal with it!
Business changes,the leaders now are technologies and innovation na haichagui sekta,Msaki yupo sekta yake hafanyi innovation yeyote,ANATESEKA!
Thats it!
[emoji23][emoji23][emoji23] dah. kwaheri bwana mdogo.Kwahiyo wewe unaniambia sababu sijafika networth ya Msaki basi sina haki ya kusema kosa lolote alilonalo?
Mtu yeyote duniani yupo open kwa scrunity kutoka kwa mtu yeyote duniani!
Upo hapa kubagua nani aku-criticise na nani asiku-criticise kwa kigezo cha networth!???
I see,you are good at shit showing contests!
Kwhaiyo tumetoka kwa Msaki umekuja kutaka kujua my business interests?mkuu wewe unafanya biashara gani ambayo inakupatia pesa nyingi kila uchwao
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwhaiyo tumetoka kwa Msaki umekuja kutaka kujua my business interests?
Kwahiyo hapa hoja si Msaki tena?
Hoja imegeuka ni nigga Wyatt Mathewson?
Kama ni hivyo basi nifungulie uzi tukutane huko nikupe details and then whaat?
Magufuli alegeze nini ambacho wananchi wote 60mil hawapitii kama mimi?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mh Magufuli alegeze nut mana sio kwa stress hizi za kutafuta makosa kwenye biashara za watu wengine kana kwamba wanafanya biashara haramu. Nadhani hata msaki kama akipata muda kusoma huu uzi atacheka sana kwa dharau.
Kina Msaki sio watu wa kispoti spotiInasemekana huyo Msaki kwenye jengo la Kibo complex ni msimamizi tu.
Kuna mtu nyuma yake(Anah Mkp) ndio anamiliki hilo jengo.
Huyu humjui manake wewe[emoji119][emoji119]Kuna jamaa aliongozaga matokeo ya kidato cha 6
Utamkuta yuko kwao analisha ngombe tu, ukimchek
Hana mkakati ya maisha
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Huyu humjui manake wewe[emoji119][emoji119]
Makumbusho kama bagamoyo aukwanini watu mliosoma old moshi hamuijali shule yenu ? yani imechoka sana mtu akifika pale anaweza kusahau tupo karne ya 20 unaanza kujihisi upo mwaka 1925
Ataaa mrangi kila mtu maarufu anamjua muulize atakuambiaKwamba unataka kusema Magenius wanafikiria nje ya box ambapo mtu mwingine hawezi kuona.
Makumbusho kama bagamoyo au
kwanini watu mliosoma old moshi hamuijali shule yenu ? yani imechoka sana mtu akifika pale anaweza kusahau tupo karne ya 20 unaanza kujihisi upo mwaka 1925
Kuna tofauti kati ya Moshi mji na Moshi wa sigara.
Kuna tofauti kati Old Moshi sec old Moshi Kijiji.
Mimi sijawai Soma old Moshi. Kuusu kuijali hiloo Ni jukumu la serekali Kama inaanzisha taasisi zake inashindwa kuzijali Basi waacha kutudai Kodi tufanyie marekebisho taasisi zake
AlphaMale, huwezi kuwa tajiri kwa kuchunguza maisha ya watu.Ule mjengo wa Kibo complex dooh si mchezo, shule ya wazo hill, wakala wa cement etc nahic jamaa biashara zake zinaingiza hata billion 1 kwa mwezi..hata kama kajenga kwa kuchukua mkopo benki, jamaa ana mafanikio sana.
Hlf nasikia alipataga div. 0 form six, maisha haya..
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Inakusaidia nn Sasa? Acha shobo
Hao ni matapeli tu ambao hata mlimani city pia wapo. Kuna mbinu zao wanazozijua wenyewe.Mada yenye kutaka kujua mengi katika mazingira ya Jengo hilo!!
Wateja wanaopata huduma katika jengo hilo waneshapatwa na matukio ya kihalifu!
Mfano ,mteja anatoka tawi la benki na kuporwa fedha zake!!!