Msaki anayemiliki mjengo wa Kibo Complex anaweza akawa kwenye top 10 ya matajiri weusi Tanzania

Msaki anayemiliki mjengo wa Kibo Complex anaweza akawa kwenye top 10 ya matajiri weusi Tanzania

"Currently,rich people are running technology or innovation related businesses not brick and motor"..Chamath Palapihiya CEO of Social Capital and owner Golden State Warriors

Msaki anafanya biashara kwa kuteseka!
unamnanga ..wewe una nini ?
 
"Currently,rich people are running technology or innovation related businesses not brick and motor"..Chamath Palapihiya CEO of Social Capital and owner Golden State Warriors

Msaki anafanya biashara kwa kuteseka!
hii ni aina nyingine ya wivu tuu
 
  • Thanks
Reactions: amu
Naungana na mchangiaji mmoja humu aliyekushauri utafute dela jipya hata kama chupi ni la zamani
 
Ule mjengo wa Kibo complex dooh si mchezo, shule ya wazo hill, wakala wa cement etc nahic jamaa biashara zake zinaingiza hata billion 1 kwa mwezi..hata kama kajenga kwa kuchukua mkopo benki, jamaa ana mafanikio sana.

Hlf nasikia alipataga div. 0 form six, maisha haya..
Kibo complex ya Mama Mkapa, Jamaa ni mshika mapembe tu
 
kuna kufaulu mitihani na kufaulu maisha...kufeli mitahani ya shule haimaanishi huna akili nyingine ya kimaisha
Nashangaa wanaomsema MAKONDA, hata kama alifeli shule, ila maisha yamemnyookea, hta MBOWE kupata kwake zero form six lakini kwenye maisha katoboa
 
Ila asilimia kubwa mtu aliefail shuleni huwa ana nguvu za jitihada kujitoa kwenye maisha, ila mtu alifaulu vizuri na kupata A zote huwa anakua tegemezi kwenye mfumo umbebe, hawezi kujitegemea kivile ni wachache sana, ila hawa A student ni wategemezi sana kwenye mfumo wa kuajiriwa sana hata kama ana mtaji atabaiki kulilia ajira
 
Ule mjengo wa Kibo complex dooh si mchezo, shule ya wazo hill, wakala wa cement etc nahic jamaa biashara zake zinaingiza hata billion 1 kwa mwezi..hata kama kajenga kwa kuchukua mkopo benki, jamaa ana mafanikio sana.

Hlf nasikia alipataga div. 0 form six, maisha haya..
Kwahiyo kumiliki jengo lile ndio yuko top 10 ya matajiri,kuna vijana wanamiliki majengo kariakoo na sinza ila hawako hata top 10000.
Bei ya nyumba kariakoo ni thamani mara nne au 5 ya kiwanja chake hapo tegeta
 
Nashangaa wanaomsema MAKONDA, hata kama alifeli shule, ila maisha yamemnyookea, hta MBOWE kupata kwake zero form six lakini kwenye maisha katoboa
Dab utajiri wake ni sawa nabujambazi tu, kuamrisha aletewe pesa kwa kutishia watu huo nao utafutaji?
Anaweza kuwashauri watu kitu gani?
 
Back
Top Bottom