Ule mjengo wa Kibo Complex dooh si mchezo, shule ya Wazo Hill, wakala wa cement etc nahisi jamaa biashara zake zinaingiza hata bilioni 1 kwa mwezi hata kama kajenga kwa kuchukua mkopo benki, jamaa ana mafanikio sana.
Halafu nasikia alipataga Div. 0 Form Six, maisha haya.
Sasa Zero hapa Inahusiana na nn mzee...fanya kazi kwa Bidii...Kwenye Top 10 sijui mana sisi watz hatupendi Manufacturing ambayo ndio inatoa mzunguko mkubwa zaidi ...Watz wajifunze kujenga Viwanda.
Tukiwa na Viwanda mzunguko utakua mkubwa zaidi..kwasasa tunafanya biashara ya kununua na kuuza zaidi (Trading).
lakin hatujaamka tujenge viwanda vingi tutengeneze bidhaa nzuri
"Currently,rich people are running technology or innovation related businesses not brick and motor"..Chamath Palapihiya CEO of Social Capital and owner Golden State Warriors