Msaki anayemiliki mjengo wa Kibo Complex anaweza akawa kwenye top 10 ya matajiri weusi Tanzania

Safi sana Mangi,shemeji zangu huwa hawafanyi makosa kabisa,kimbizeni mpaka nchi iwatambue
 
Alikutapeli nini? Mbona sijawah hata sikia kesi yake hata ya kusingizia? Ninachojua ni smart kwenye kazi na ukiharibu kazi yake hata buti utapigwa. Sema lingine.
Ni hii familia ya kina Victor Msaki amaa??
 
Ni kweli mabilionea wakubwa Tanzania ni wenye viwanda mfano Azam,Mohamed Dewji
 
Achaneni Maisha ya watu mara cha Mama mkapa mara cha Mafisadi mtaishia kuwa masikini Mlo moja unakushinda unaanza kuangalia Maisha ya watu. Siri kubwa ya Masikini ni wivu, Majungu, na chuki.
 
Utajiri ni "kuthubutu " kama wewe ni mwoga, endelea kupasua sala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…