Pre GE2025 Msako wa kura za Kanda ya Ziwa kuongozwa na Wasira, Dotto Biteko, Musukuma, Bashungwa, na Mabula's. Ni kivumbi!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kanda ya ziwa Doto awaeleze kilichomsibu JPM.
Wakimuelewa CCM itapata kura ,ila kinyume chake Kuna shida kubwa Kanda ya ziwa
 
Hao ni baadhi tu ya watakaolitimua vumbi kuzisaka kura za CCM kanda ya ziwa.

Watasaga sore za viatu kuzisaka kura za mama samia na wagombea wa CCM kupitia a very sophisticated campaign network iliyoanza kusukwa miaka mitatu iliyopita mpaka ngazi ya vitongoji.

Huwezi amini kwamba Mzee Wasira ana namba za mpaka Wenyeviti wa Vitongoji nchi nzima ambao humjuza yanayojiri kisiasa katika eneo lake.

Bashungwa anatarajiwa kuratibu moja kati ya mifumo bora kabisa ya kampeni kwa Mkoa wa Kagera wenye nguvu ya horsepower millions Mia tatu ikifumua kuanzia Minziro mpaka Bumbire.

Pale kati viungo wachezeshaji, Mabula na wenzake watachanja mbuga kuanzia Kayenze mpaka Kishiri wakizichakata kura za CCM

Wasira anatarajiwa kuzisokota kura za Mkoa wa Mara bila kuacha hata moja, huku Chenge akiwa harudishi chenji ya kura za Simiyu, hata kama hatagombea, atakuwa injini kubwa kabisa ya ushawishi huku pembeni akiwa ana master Kadogosa.

Bado wengine sijawataja, bila kusahau bwana SMART
Usitufanye sie watoto bana kazi ishaisha huko porini 😁
 
Hilo babu haliuziki sidhani km kuna mwananchi atamuelewa, walishamkataa wakampa Bulaya tena mwanamke..!!

Veggies bila polisi, DED na hao machawa ma DC hamtoboi kwenye sanduku la kura..!!
 
Hao ni baadhi tu ya watakaolitimua vumbi kuzisaka kura za CCM kanda ya ziwa.

Watasaga sore za viatu kuzisaka kura za mama samia na wagombea wa CCM kupitia a very sophisticated campaign network iliyoanza kusukwa miaka mitatu iliyopita mpaka ngazi ya vitongoji.

Huwezi amini kwamba Mzee Wasira ana namba za mpaka Wenyeviti wa Vitongoji nchi nzima ambao humjuza yanayojiri kisiasa katika eneo lake.

Bashungwa anatarajiwa kuratibu moja kati ya mifumo bora kabisa ya kampeni kwa Mkoa wa Kagera wenye nguvu ya horsepower millions Mia tatu ikifumua kuanzia Minziro mpaka Bumbire.

Pale kati viungo wachezeshaji, Mabula na wenzake watachanja mbuga kuanzia Kayenze mpaka Kishiri wakizichakata kura za CCM

Wasira anatarajiwa kuzisokota kura za Mkoa wa Mara bila kuacha hata moja, huku Chenge akiwa harudishi chenji ya kura za Simiyu, hata kama hatagombea, atakuwa injini kubwa kabisa ya ushawishi huku pembeni akiwa ana master Kadogosa.

Bado wengine sijawataja, bila kusahau bwana SMART
Ungesema kabisa cream ya kanda ya ziwa,ila hapo imekuwaje umemtenga kolomije?
 
Eneo lenye wapiga kura wengi ndani ya nchii hii ni kanda ya ziwa .. hata kampeni za uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi Mkapa alianzia kanda ya Ziwa nyakati hizo kulikuwa na Magwiji wa uanzilishi wa Mageuzi km John Cheyo, Bob Makani, James Mapalala, Abdallah Fundikira, Chriss Kasanga Tumbo, Prince Bagenda, Mabele Marando akiwemo na Stephen Wasira. hii eneo ni Reform Zone ...Lisu akichanga karata vizuri atapata wabunge wengi..
 
Ungesema kabisa cream ya kanda ya ziwa,ila hapo imekuwaje umemtenga kolomije?
Huyo Koromije anamzidi umaarufu hata huyo "Chura Kiziwi" jamaa anajua kulitumia jukwaa saizi yake ni TAL..
 
Ana kazi ya kummaliza Lemma Arusha
ALishashindwa Lemma anaweza kumwambia maisha yake ya miaka 5_10 ijayo,hivyo hivyo sasa yuko tayari kuwa chawa wa Lema ila sii kumletea nyodo.
 
Back
Top Bottom