Yoso
JF-Expert Member
- Nov 24, 2010
- 954
- 1,417
Alishindwa hata kwenye kura za maoni nani ataenda kumsikiliza mtu mwenye sura ya nyani ?Huyo wasira hata kwao hakubaliki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alishindwa hata kwenye kura za maoni nani ataenda kumsikiliza mtu mwenye sura ya nyani ?Huyo wasira hata kwao hakubaliki
Kweli wewe unaijua vilivyo kanda ya ziwaKanda ya Ziwa siyo wapumbavu km unavyofikiria.. kabla ya ujio wa Magu shinyanga pekee ilikuwa na majimbo 6 ya upinzani.. Lisu ana nafasi kubwa ya kuchukua majimbo mengi sn kanda ya ziwa..
Usitufanye sie watoto bana kazi ishaisha huko porini 😁Hao ni baadhi tu ya watakaolitimua vumbi kuzisaka kura za CCM kanda ya ziwa.
Watasaga sore za viatu kuzisaka kura za mama samia na wagombea wa CCM kupitia a very sophisticated campaign network iliyoanza kusukwa miaka mitatu iliyopita mpaka ngazi ya vitongoji.
Huwezi amini kwamba Mzee Wasira ana namba za mpaka Wenyeviti wa Vitongoji nchi nzima ambao humjuza yanayojiri kisiasa katika eneo lake.
Bashungwa anatarajiwa kuratibu moja kati ya mifumo bora kabisa ya kampeni kwa Mkoa wa Kagera wenye nguvu ya horsepower millions Mia tatu ikifumua kuanzia Minziro mpaka Bumbire.
Pale kati viungo wachezeshaji, Mabula na wenzake watachanja mbuga kuanzia Kayenze mpaka Kishiri wakizichakata kura za CCM
Wasira anatarajiwa kuzisokota kura za Mkoa wa Mara bila kuacha hata moja, huku Chenge akiwa harudishi chenji ya kura za Simiyu, hata kama hatagombea, atakuwa injini kubwa kabisa ya ushawishi huku pembeni akiwa ana master Kadogosa.
Bado wengine sijawataja, bila kusahau bwana SMART
Ungesema kabisa cream ya kanda ya ziwa,ila hapo imekuwaje umemtenga kolomije?Hao ni baadhi tu ya watakaolitimua vumbi kuzisaka kura za CCM kanda ya ziwa.
Watasaga sore za viatu kuzisaka kura za mama samia na wagombea wa CCM kupitia a very sophisticated campaign network iliyoanza kusukwa miaka mitatu iliyopita mpaka ngazi ya vitongoji.
Huwezi amini kwamba Mzee Wasira ana namba za mpaka Wenyeviti wa Vitongoji nchi nzima ambao humjuza yanayojiri kisiasa katika eneo lake.
Bashungwa anatarajiwa kuratibu moja kati ya mifumo bora kabisa ya kampeni kwa Mkoa wa Kagera wenye nguvu ya horsepower millions Mia tatu ikifumua kuanzia Minziro mpaka Bumbire.
Pale kati viungo wachezeshaji, Mabula na wenzake watachanja mbuga kuanzia Kayenze mpaka Kishiri wakizichakata kura za CCM
Wasira anatarajiwa kuzisokota kura za Mkoa wa Mara bila kuacha hata moja, huku Chenge akiwa harudishi chenji ya kura za Simiyu, hata kama hatagombea, atakuwa injini kubwa kabisa ya ushawishi huku pembeni akiwa ana master Kadogosa.
Bado wengine sijawataja, bila kusahau bwana SMART
Huyo Koromije anamzidi umaarufu hata huyo "Chura Kiziwi" jamaa anajua kulitumia jukwaa saizi yake ni TAL..Ungesema kabisa cream ya kanda ya ziwa,ila hapo imekuwaje umemtenga kolomije?
Tume kifua chembamba au kifua kipana ndugu?Tume iko huru
ALishashindwa Lemma anaweza kumwambia maisha yake ya miaka 5_10 ijayo,hivyo hivyo sasa yuko tayari kuwa chawa wa Lema ila sii kumletea nyodo.Ana kazi ya kummaliza Lemma Arusha