Msamaha: Huwa ni ngumu wewe kuomba msamaha? au huwa ni vigumu sana wewe kuombwa msamaha?

Msamaha: Huwa ni ngumu wewe kuomba msamaha? au huwa ni vigumu sana wewe kuombwa msamaha?

Lakini je, huwa ni vigumu wewe kuomba msamaha
AU
Huwa ni vigumu wewe kuombwa msamaha?
 
Wanaume tuliowengi hatuombi misamaha kwa wake zetu ili kulinda uanaume wetu.kuomba msamaha kwa mwanamke ni dalili mojawapo ya kumwogopa.Na mkeo akijua kwamba unamwohopa umekwisha ananza sasa kukubackmail(sipata neno kwa kiswahili). Ndo maana biblia inasema tuishi nao kwa akili
 
Kwa wanaume inatuwia vigumu kuomba msamaha sababu ya haiba na utashi wa kiume, inaonekana kama umejidharau na kujishusha, ila katika mambo ya muhimu msamaha ni tiba stahiki. Zingatia: mambo muhimu, mf. Umemkosea mzazi.
 
Mzazi nae akikosea unampa makavu tu na adhabu juu.
Labda bond haipotei ila msumbue tu.
 
Napendelea kutumia sorry kuliko samahani, samahani ni nzito sana.
Sorry haina userious ndani yake.

Nimwepesi kusema sorry kwa ishu yoyote iwe ndogo au kubwa ila sio samahani.
 
Kuna tabia ya baadhi ya watu kuwa wagumu kuomba msamaha wakiwa wamekosea,

Huwa ni ngumu kwako kuomba msamaha au huwa ni vigumu wewe kuombwa msamaha, kipi kinatokea mara kwa mara kwa upande wako?

Kama unajua umekosea nini ugumu wa kuomba msamaha? Afya ya akili….
 
Inategemeana na kosa nililotenda au kutendewa,makosa mengine ukiomba au kuombwa msamaha haraka haraka lazima maswali yawepo,so napendelea niombe au niombwe msamaha kwa muda mwafaka, si kwa kuchelewa au kuwahi sana,vinginevyo ni maksudi.
 
Wanaume tuliowengi hatuombi misamaha kwa wake zetu ili kulinda uanaume wetu.kuomba msamaha kwa mwanamke ni dalili mojawapo ya kumwogopa.Na mkeo akijua kwamba unamwohopa umekwisha ananza sasa kukubackmail(sipata neno kwa kiswahili). Ndo maana biblia inasema tuishi nao kwa akili
Hii ni kweli kabisa [emoji736]
 
Back
Top Bottom