Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzazi nae akikosea unampa makavu tu na adhabu juu.Kwa wanaume inatuwia vigumu kuomba msamaha sababu ya haiba na utashi wa kiume, inaonekana kama umejidharau na kujishusha, ila katika mambo ya muhimu msamaha ni tiba stahiki. Zingatia: mambo muhimu, mf. Umemkosea mzazi.
Mzee kumekucha muda wa kutumia akili huuhaha double chance, aya kafunge lindo kule usiku wa manane.
Upendo hufadhili, upendo husamehe, upendo haukosi kuwa na adabu, hautafuti mambo yake kamwe. Upo vizuri mkuu.
Kuna tabia ya baadhi ya watu kuwa wagumu kuomba msamaha wakiwa wamekosea,
Huwa ni ngumu kwako kuomba msamaha au huwa ni vigumu wewe kuombwa msamaha, kipi kinatokea mara kwa mara kwa upande wako?
acha uzi ujiendeshe wenyewe!Mmeogopa kujibu sawa 😀
Hii ni kweli kabisa [emoji736]Wanaume tuliowengi hatuombi misamaha kwa wake zetu ili kulinda uanaume wetu.kuomba msamaha kwa mwanamke ni dalili mojawapo ya kumwogopa.Na mkeo akijua kwamba unamwohopa umekwisha ananza sasa kukubackmail(sipata neno kwa kiswahili). Ndo maana biblia inasema tuishi nao kwa akili